Umeme umeme na tanesco

Macos

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2008
Posts
1,979
Reaction score
1,418
Hivi tanesco na wizara yake kudanganya hakuna mgao wakati umeme hautoshi kila siku unazimwa tena bila taarifa maanake nini?
Mnaonesha dharau kubwa kwa watanzania mnawadanganya kwamba sasa mnazalisha MW 1200 na matumizi ni MW 850 wakati sio kweli
Umeme sasa unakatwa time yoyote iwe usiku iwe mchana na bila ya tamko la tanesco wala wizara
Mna msemesha Rais wa nchi uongo nae anaahidi uongo kutokana na data zenu za uongo
Hebu kuweni kidogo wacheni utoto
Mnataka muongezewe bei ya umeme wakati hakuna umeme sasa hizo fedha mtazipata wapi kama hakuna matumizi?
Laiti kama mnawasha umeme watu watatumia umeme na nyie mtapata fedha
Wacheni utoto nchi mnaimaliza


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 

Mkuu!

Unashangaa nini?

Mbona huyo amezoea kudanganywa wakati wote?
 
Tunapaswa kumwambia ukweli anadanganywa
Watu wake hawamwambii ukweli
Kukuaa tu ikulu ukasubiri ripoti nchii hizi za kiafrika hakuendeshi mambo
Fuatilia nchi haina umeme na mkuu wa nchii unakua kituko unapo simama na data uongo
Tunakupenda lakini now fuatilia haya mambo
Nchi inamalizwa na Tanesco

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…