Toka saa 7.00 usiku sehemu kubwa ya Kinondoni kama sio Jiji zima la Dar halina umeme.Hatujui tatizo ni nn?
Mamlaka husika tuambieni kuna nn kimetokea?Tupo kwenye joto kali hakulaliki

Naripoti kutoka mikocheni A umeme mpaka sasa haujafika imebidi nilale milango wazi potelea wezi na mbu ila hili joto ka tunafanya mazoezi ya kwenda jehanamu