Umeme Mwanza

Kifai

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
816
Reaction score
173
Kwa mwenye taarifa juu ya kukatika umeme hapa mwanza na utarudi saa ngapi?
 
tanesco walitangaza wiki nzima kuwa j2kuanzia saa mbili asubuhi mpaka saa 11jioni mikoa itakayoathirika ni mtera dodoma singida tabora shinyanga mwanza na musoma ubadilishaji wa waya greed ya taifa
 
nipo huku mitaa ya kigogo tangu asubuhi hamna huduma hiyo.Na jinsi jua linavyowaka huku dar,ndio utajua kwanini ccm haitakiwi tena kuendelea kututabisha kiasi hiki.Miaka zaidi ya hamsini madarakani inashindwa kutupa hata umeme wa uhakika,wanataka tanesco aendelee kuwa mtoa huduma hii pekee pamoja na mwendo wake wa kuchechemea wao ndio wanavyopenda ili wazilete kampuni zao uchwara like iptl waendelee kuvuna mabilioni.Inatosha huu mgao wa kimya kimya utangazwe rasmi.na ile kauli ya mgao wa umeme utabaki kuwa historia itenguliwe.Thanx tanesco kwa kutubanika katika nyumba hizi zilizoshanana ambazo bila umeme ndani hakukaliki
cc vingunguti,buguruni kwa mnyamani,kiwalani,tandika,keko,manzese
 

For your information....Huwa hatuchagui ccm wanatuibia kura
 
tanesco walitangaza wiki nzima kuwa j2kuanzia saa mbili asubuhi mpaka saa 11jioni mikoa itakayoathirika ni mtera dodoma singida tabora shinyanga mwanza na musoma ubadilishaji wa waya greed ya taifa



Umeme wenyewe nusu ya gharama inalipwa kwa wajanja wachache, alafu bado wa mgao.

Ukarabati wa miundombinu ni zuga wkt mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…