Highlander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 3,093
- 1,077
Walahi uchaguzi wa Mitaa ungefanyika kesho mimi nisingepigia kura CCM. Nipo eneo la Maji ya Chumvi Ubungo karibu na jeshini Ubungo Kibangu. Hakuna Umeme siku nzima hapa, wakati maeneo mengine yote ya Ubungo yamekuwa na umeme leo hata kama kwa kuzimika na kuwaka baada ya muda mfupi. Hizi samaki kwenye mafriji inakuwaje? Saa hizi Ubungo yooote ina umeme, jeshini tu ndo hakuna umeme. Sisi wananchi tunaopakana na hili heshi giza totolo. Tukisema CCM inaajiri watu wabovu kwenye mashirika yetu ya Umma mnasema hoooo...tunageuza kila kitu kuwa cha kisiasa. Hili la kukosesha kambi ya kubwa namna hii ya jeshi umeme na raia waishio jirani limekaje jamani, wakati kwingine koooote umeme upo?
ndg yng shukuru wewe umeukosa siku moja tu.....sisi pamoja na kuichagua iyo ccm unayoita ni mwezi wa pili sasa hatujaupata tangu transfoma ilipuke.......chagua ccm sasa ukae miezi miwili kizaWalahi uchaguzi wa Mitaa ungefanyika kesho mimi nisingepigia kura CCM. Nipo eneo la Maji ya Chumvi Ubungo karibu na jeshini Ubungo Kibangu. Hakuna Umeme siku nzima hapa, wakati maeneo mengine yote ya Ubungo yamekuwa na umeme leo hata kama kwa kuzimika na kuwaka baada ya muda mfupi. Hizi samaki kwenye mafriji inakuwaje? Saa hizi Ubungo yooote ina umeme, jeshini tu ndo hakuna umeme. Sisi wananchi tunaopakana na hili heshi giza totolo. Tukisema CCM inaajiri watu wabovu kwenye mashirika yetu ya Umma mnasema hoooo...tunageuza kila kitu kuwa cha kisiasa. Hili la kukosesha kambi ya kubwa namna hii ya jeshi umeme na raia waishio jirani limekaje jamani, wakati kwingine koooote umeme upo?
ndg yng shukuru wewe umeukosa siku moja tu.....sisi pamoja na kuichagua iyo ccm unayoita ni mwezi wa pili sasa hatujaupata tangu transfoma ilipuke.......chagua ccm sasa ukae miezi miwili kiza
Walahi uchaguzi wa Mitaa ungefanyika kesho mimi nisingepigia kura CCM. Nipo eneo la Maji ya Chumvi Ubungo karibu na jeshini Ubungo Kibangu. Hakuna Umeme siku nzima hapa, wakati maeneo mengine yote ya Ubungo yamekuwa na umeme leo hata kama kwa kuzimika na kuwaka baada ya muda mfupi. Hizi samaki kwenye mafriji inakuwaje? Saa hizi Ubungo yooote ina umeme, jeshini tu ndo hakuna umeme. Sisi wananchi tunaopakana na hili heshi giza totolo. Tukisema CCM inaajiri watu wabovu kwenye mashirika yetu ya Umma mnasema hoooo...tunageuza kila kitu kuwa cha kisiasa. Hili la kukosesha kambi ya kubwa namna hii ya jeshi umeme na raia waishio jirani limekaje jamani, wakati kwingine koooote umeme upo?
Mkuu hilo c wamelieleza kuwa zaweza pita hata week 2 hapo umeme hola sababu ya moto uliolipuka pale kwenye mitambo au?