Kutwa nzima ya leo maeneo mengi ya mji wa Arusha hayana umeme, TANESCO kimya na hili ni jambo la kila mara, sitaki kuamini sababu ni kina fulani kushika usukani kwenye jiji hili.
Wadau kutwa nzima ya leo maeneo mengi ya mji wa Arusha hayana umeme....tanesco Kimyaaa....na hili ni jambo la kila mara...sitaki kuamini sababu ni kina fulani kushika usukani kwenye jiji hili..

Arusha tunajuta kuchagua chadema.
Hamna wanachotusaidia kuhusiana na tatizo la umeme.
Kazi yao kushangaa shangaa na kulalamika tu utafikiri wao siyo viongozi

Daah Dsm Kwakweli Tusiwe wanafaki .. tumesahau Kabisa kama Kuna Janga la Umeme .
Sikumbuki mara Ya Mwisho umeme Umekatika Lini . Ni Juz baada Sockert Bracker Kuungua . Na walitoa Taarifa and within short time umeme ulirejea , ikiwa na Samahani za Kutosha kwenye maandishi na Tv.