Umeme Arusha+Mererani KUNANI??

MMCL

Member
Joined
Aug 26, 2013
Posts
6
Reaction score
0
Kuanzia tar. 15/09/2013 umeme umekua ni tatizo kubwa kwa mkoa wa Arusha na baadhi ya maeneo ya mkoa wa Manyara especially Mererani, tatizo hili limekuwa ni la kujirudia kila mara kwa zaidi ya wiki tatu sasa, kila wadau tunapojaribu kujua nini shida, utaambiwa nyaya zimeibiwa
Na ndo Tanesco wanajaribu kurekebisha. Mimi naona hii ni hujuma inayotoka Tanesco, haiwezekani nyaya kuibiwa kila siku na hakuna juhudi zozote za kiulinzi kukomesha swala hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…