Umejifunza nini kupitia kwa Louis Suarez?

umeandika nini Sasa kwani huyu gaucho na etoo hawajahi kutwaa ndoo hapo camp nou?
Barcelona
Gaucho

Kipindi chote hicho ana uefa moja tu, sasa utasemaje huyu alikuwa na msaada mkubwa pale?

Alipoingia Messi ndani ya timu nini kikatokea? Makombe yalianza kutiririka kama maji sio.

Barcelona
Messi

Barcelona
Etoo

Hapo atleast kwa etoo jamaa nikua namkubali sema tu ni mtu mweusi ndio maana akaonekana wa kawaida kwa gaucho, but kwangu Etoo is betterthan gaucho! Na walifanya maamuzi sahihi kumtema.

🇦🇷🇦🇷🇦🇷🔥🔥
 
sio shida ni maoni yako binafsi yanafaa kuheshimiwa pia ndani ya miaka mitano akiwa camp nou kupata idadi hiyo ya vikombe ilikuwa inatosha sana . Ila yule mwamba still kuna kitu anadaiwa na ulimwengu wa soka alikuwa hachoshi kumtazama akiwa na mpira .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom