Umejifunza nini hapa??

Binadamu wengi wanaumizwa sana na maendeleo ya wenzao hii husababishwa sana na husda pamoja na uviv
 
Mafanikio ya rafiki yanauma bwana, tuwage wakweli tu. Ile kupongezana huwa ni desturi tu ila nafsini....
 
90% ni kwa ngozi nyeusi hawapendi kuona mwenzake amefanikiwa ,tumejaa chuki,tamaa,unafiki,majivuno,wivu,roho mbaya,uongo,wizi,kuigaiga,ushirikina.mungu atusamehe sana aisee
Dah ni kweli
 
duuh inasikitisha. lakini wanasema rafiki wa kweli ni yule anayekuwepo wakati wa shida, ha haha
 
wachache wanapenda maendeleo ya mtu, na ukikuta wanakusifia ujue kama wapo 10 basi mmoja ndio anasema kutoka moyoni
 
Hali halisi.

Watu hawapendi maendeleo/mafanikio ya mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…