yassird200
JF-Expert Member
- Jan 2, 2025
- 971
- 1,699
Guita katoro kuna fursa nyingi sana mkuuFunguka waende mkoa gani na minadani wafanye biashara gani?
Umachinga wabidhaa (nilfanya bidhaa za dukani) zinatembeaweka wazi
Huo ndo mtaji nilianzia lkn ndani ya mwezi nlkuwa na3.5k na nlkuwa na naish vzr tuLaki mbili naanzia wapi na ninanunua nini na nini?
Sawa. Lakini nanunua nini na nini na ninafanyaje?Huo ndo mtaji nilianzia lkn ndani ya mwezi nlkuwa na3.5k na nlkuwa na naish vzr tu
Mkuu bidhaa za dukani zina classes mimi nilianza na(vifungashio) vyeupe nlpokuw nikadeal na bidhaa nyingine ila za dukaniSawa. Lakini nanunua nini na nini na ninafanyaje?
Sawa.AsanteMkuu bidhaa za dukani zina classes mimi nilianza na(vifungashio) vyeupe nlpokuw nikadeal na bidhaa nyingine ila za dukani
Ndio.sina uzoefu wa kuandika easyUmehitimu elimu ya juu lakini hujui kuandika
Mwandiko wa mhitimu huu Tena ukute ni wa kitivo Cha Sheria pale chuo kikuu huriaHabari za zenu wana JF.
Leo nimeona ni share experience yangu hapo nyuma .Binafsi nimeajiria but privet sector, baada ya kuhitimu elimu ya juu nilihangaika sana kwani nlihisi elimu yangu ingenisaidia.
Lakini nikuja kugundua this tz.yeah nlianza hustle za umachinga 2020/2023. Mwanzo nlpitia ugum fln kukubali hari ile lkn atlest skuwa nategemea wazazi.
Nashauri vijana wanao hangaika huko daslaama huku niwamikoani,hata hata waliozaliwa huko .njoeni mikoani mjitafte.
Kijana hizo simu zenu kama Huna uhakika wakula uza nimtaji tosha. Acheni kuhangaisha wazazi huku uwezo mnao mnao (laki mbili inatosha kuanzia maisha).
Punguzeni kulalamikia serikari fanyeni kazi hata hao mashangazi watawachoka sio mama zenu hao.
NB: Thamani ya mtu hutengenezwa na yeye pekee. Vijana vueni albu pambaneni tutengeneze kesho yetu wenyewe.
Asante nimepokea kwa niaba.Mwandiko wa mhitimu huu Tena ukute ni wa kitivo Cha Sheria pale chuo kikuu huria
Easy ni nini?Ndio.sina uzoefu wa kuandika easy
NmeshakusomaMkuu bidhaa za dukani zina classes mimi nilianza na(vifungashio) vyeupe nlpokuw nikadeal na bidhaa nyingine ila za dukani
jichanganye uoneSawa. Lakini nanunua nini na nini na ninafanyaje?
Mkuu Acha vijana wafanye kazijichanganye uone
Nilikua Nataka kesho niende kariakoo nikachukue vifungashio sasa mbona….jichanganye uone