Ulokole kushney

Joined
Jan 7, 2012
Posts
61
Reaction score
7
Dada mmoja alijifanya mlokole kipind kiref but za mwiz 40 dada yake alisafr ck 1 akamwacha na kabint kenye 10yrz akapata muda wa kuleta buz lake, baada ya dada yake kurud akiwa na shoga wake yule dada alimuuliza mnaendeleaje hom mtoto akasema jana mama tulilala kwa shida mpaka yule baba akamulalia mama mdogo shoga zake wakacheka kwel kwa kujifanya mulokole kumbe wapii.
 

mlokole akitenda dhambi ana fursa ya kuungama!
 
sijaelewa...
Sasa hujaelewa nini mkuu, kwamba dada alisafiri? kwamba baba alimlalia mamamdogo? au kwamba walicheka sana dada na shoga zake? Fafanua uelezwe usipoelewa. Au huelewi kwamba mlokole naye ana hisia za mwili na analazimika kuzitimiza? Tatizo sio kula nyama, ila ni nyama gani unakula?
 
ivi kwanini mlokole akitenda dhambi ndio inaonekana kama dhambi sana ila akitenda mwingine inaonekana kawaida? mbona kuna watu wengi tu ambao huwa wameshika dini na maadili ila siku wakitenda dhambi haiwi newz kama kwa mlokole??najiuliza sipati majibu....lakini ashukuriwe MUNGU wa rehema zake yeye ambaye humsamehe kila aliyetenda dhambi na akatubu na kujutia makosa yake.
 
kunya anye kuku akinya bata tobaaaaa.....
 
zaleo ...nakusalimu tu zaleo
 
Last edited by a moderator:
Ujinga bwana Ni Kazi! Ulikole kwishney Au Dada aliyejifanya mlokole kwishney?


UOTE=Pedeshee kiraka;4525677]Dada mmoja alijifanya mlokole kipind kiref but za mwiz 40 dada yake alisafr ck 1 akamwacha na kabint kenye 10yrz akapata muda wa kuleta buz lake, baada ya dada yake kurud akiwa na shoga wake yule dada alimuuliza mnaendeleaje hom mtoto akasema jana mama tulilala kwa shida mpaka yule baba akamulalia mama mdogo shoga zake wakacheka kwel kwa kujifanya mulokole kumbe wapii.[/QUOTE]
 

si unajua walokole wanavyowaona wenzao wote wana dhambi!
 


Kwa sababu wanatuona sisi ambao hatujatangaza kuwa tumeokoka tuna dhambi. Ni kweli wana vionjo na hisia kama sisi, lakini huwa wanaenda extra mile ya kuwa wao ni wasafi na huwa hawana hisia za kimwili.
 

great thinkers ndo tutaweza kuelewa unamaanisha nn..
 

Kejeli kwa walokole zisizo na msingi.
 

Searching...100%
Loading...100%
Network Connected !

Near by Mbalizi Mbeya.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…