Heheheeeeee atakuwa kwa BADILI TABIA coz niliona PM zao juzi kuwa wakutane Korogwe kwa kula raha nahisi ndio watakuwa huko....yan umod kazi ngumu sana hapa nawaza Amyner kamtumia PM Kaizer mh moyo kidogo upasuke aisee yan nataka niache kuchungulia PM za watu hasa wife