πππππ. Aina aina ya maono na kuna aina yo ndoto pia. Lazima ujue kutofautisha ndoto na moaono wakati mwingine itakusaidia kujua nini kimetokea.
Mfano hicho unacho elezea, ni closed vision na ndio maana mwisho wa siku unaona kama umeshtuka kutoka usingizini, ila ki uharisia ulikuwa kwenye state mbili kutokana na uchanga wa kiroho unashindwa tafsiri lugha ya mwili wa roho na huu wa damu na nyama.
Ki uhariai maono hayo unayo ona ni harisi na unacho ona ni harisi, ila kutokana na capacity yako ya rohoni unashindwa handle na ku process unacho ona na kujua nini cha kufanya, aina yoyote ya usumbufu kwenye nafsi unapelekea maono kukata.. ikiwa pamoja na hofu