Ulishawahi kuwa na rafiki wa jinsia tofauti mliyeshibana sana?

Mkuu unabahati Sana Mke wake alikubali urafiki baada ya ndoa. Wengi wao kwenye uchumba anajifanya anakubali urafiki wenu, wakishafunga tu ndoa hataki uwe na mazoea na mume wake na urafiki wenu utafia hapo.
Mke wake Ni rafiki kwa kiasi ambacho kamzidi mume wake

Kwa sasa mke tunachat zaidi ya mume
Akija kikazi.mkoa niliopo anafikia kwangu tunaongea vitu vingi ambavyo hata my friend(mume ) hajui.

Kifupi wale washakuwa ndugu zangu

Yule dada naona aliona anifanye rafiki tu maana sidhani kama tungeweza kuacha urafiki..binafsi nisingeweza..And because of that....I can't betray her trust!!!
 
Weww kma mimi urafiki wangu huishia kuwatafuna,wachache sana tumebaki kua marafiki
 
Hapo ni sawa na kutumia mua kama mkongojo wa kutembelea, siku ukisikia hamu au njaa na huna kitu mfukoni utajisikia kuumega tu.
 
Au alilewa sana kias cha kutokujua kama alimegwa?
 
naomba tu niwe mkweli katika marafiki zangu wengi wa kike niliwala kimasiara na walikubali kuliwa kwerri kwerri (in magu voice)

et rafik yako anakuja geto kuomba ushaur mama yake anaumwa huku anajiliza liza


rafik yako wa kike anakuja geto mnapika mnakula ,story story kibao alafu mvua ya mawe inaanza kunyesha.

rafik yako weekend mnaenda viwanja mnakunywa ,mkishalewa anakwambia nipeleke nyumbani

rafik yako upo nae mnachek movie kwenye pc nje barid kali alafu unaona watu wanaanza kunyanduana,mara rafik anaangalia pembeni anacheka kinafiki.
 
Huyo ndio alikuwa mumeo. Amini usiamini.
Mtu unayefahamiana nae vyema ndio inapaswa kuingia nae ndoani.
Lkn cha ajabu unaenda kuoa au kuolewa na mtu usiyemjua vyema.
Pengine vigezo alikuwa hana
 
Una Mambo ya kike Sana wewe,mwanaume gani unalialia Kama demu?
 
Aisee nimemiss huyu Jamaa balaa .
What a friend
Sema ndo hatuongei
 
😍what a best way to be remembered by a lady,umenikumbusha Dada mmoja, hapa Duniani nimewahi kuambiwa maneno mengi mazuri lakini sidhani kama yanafikia kuna siku nimeambiwa "wewe tu ndio mtu unayenijali,wewe ndiye pekee unaniulizaga kama nimekula" alikuwa kama hajala natuma hela ya chakula,alikuwa akiishiwa pedi natuma hela ya pedi, we still keep in touch
 
Umenikumbusha nikiwa chuo kikuu nili fanya assgnment mbili....yangu na ya L (demu)
Nil submit mwenyewe assignment zote mbili Cha kushangaza matokeo ya assgnment alinipiku...
Nilimtongoza mdada mwingine akanambia kwa nn usimtongoze L
Maana huyo L nilikua naumarib Sana nae chuo kizima kilijua ni mtu wangu na ilijulikana ni mtu wangu kumbe ni Best....

Ofcorse mm ni good behaved person ila nilichezea kibut kwa L
Mpk leo sijawai kujua kwa nn L hakutaka mm na yeye the wapenzi..
Badae nili observe L alikua anapenda wanaume Hardcore wanywa pombe,wavuta sigara na bangi...na yeye alikua anatumia...

Mm good behaved nika temana nae...
 
😂demu akiwa rafiki ako hivo usimtongoze we jimilikishe tu, anyway story yako imenikumbusha boya fulani tulikua nalo bar tunapiga vyombo sasa kuna dada stranger akaanza kunipigisha story na kutunulia k vant kubwa bila kumuomba
sasa hilo jamaa langu lilivoona demu anavuta fegi ili kum impress nalo likaomba fegi, wakati wa kuwasha ilikuwa kituko maana liliwasha fegi ikiwa mkononi demu akacheka sana🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…