General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,317
- 23,192
Sijawahi tapeliwa kiihivyo labda tu jamaa zangu ambao nafahamiana nao vizuri anakukopa then hakulipi... hizo kwangu ni nyingi sana.Eleza ilikuaje.
Mimi nilitapeliwa dumu zima la mafuta ya kupikia ambayo mdingi aliniagiza nikayachukue kwa rafiki yake mmoja kibamba. Sasa nilivyofika nayo k.koo, ndio mchezo ulichezeka hapo. Nakumbuka nilikuwa form two
Jamaa wa toroli alikuja niomba anibebee kwa jero. Sasa ikawa kuvuka barabara, jamaa akavuka fasta, ile anavuka tu ikaja gari ya mnazi mmoja ikapaki katikati yangu, mpaka kuja kugeuka gari nivuke jamaa simuoni tenaa.
Mziki ikawa nitamwelezaje Mzee mana mzee ni mkali vibaya. Nilivyofika Om nikamwambia gari imepata ajali, polisi wameipeleka kituo cha polisi pale Usalama hivyo tumeambiwa kila mtu akachukue vitu vyake kesho, akasema ayaa tutaenda wote
Sasa usiku ukawa unakaribia huku nikijiuliza hiyo kesho itakuwaje. Ikanibidi kidume nimweleze ukweli, kuwa nimetapelia.
Mdingi alinijibu ayaa. Dah sikuamini yani mana nilijua nakufa siku hiyoo
Mpaka leo sijawahi tapeliwa kabisa.
Niliuziwa net nikiwa b.bar pale sinza kufika nyumban naifungua kalikuwa kadogo balaa labda kitanda cha mtoto mchanga ingefaa
Duh!!!Flash 64 GB imekuwa hard disk hiyo alikutestia ukaona inapiga kazi?Mimi jamaa leo kaniuzia FLASH YA SAMSUNG 64GB(ikiwa packaged) sh. Elfu 10 tu... alivyoondoka tu Nikashtuka huenda kanitapeli ila nikacheki baadae kitu OG.
usipite hivihiviNapita
niliuziwa flash feke mkuu moja 10,000Ogopa wale wanaojifanya wanauza vitu kwa mnada.
Usithubutu kusimama.utalizwa mpaka hela ya futari
Kimini hahahahaNiliuziwa net nikiwa b.bar pale sinza kufika nyumban naifungua kalikuwa kadogo balaa labda kitanda cha mtoto mchanga
hahahhaNilibadilishana na mshikaj flani hivi iPhone. Nikampa iPhone 5s Og yeye akanipa iphone 7 plus fake. Nakumbuka nilicheka sana kwa hasira. Ila ile iPhone nikajakuifunga iCloud lost mode siku ile ile.