Kamada kazuri sana., but napenda kuliweka hili wazi na hakika lipo ingawa kuna watu watajaribu kulipinga, wanawake wengi walio ndani ya ndoa wana ubinafsi sana, unakuta mnafanya kazi kila mmoja ila hela ya mwanamke ni chungu sana, mwanamke akinunua kitu utasikia hiki ni changu, ila cha mwanaume anakiita cha kwetu, hili jambo liko kwenye ndoa nyingi sana na linawatesa sana wanaume, kuna baadhi ya wanaume ili kulinda ndoa wanaacha kuhoji vipato vya wake zao, hebu imagine mwanamke anafanya kazi labda analipwa 500,000 per month, but bado expenses za saloon, nguo na mengineyo anadai toka kwa mwanaume, na bado matumizi ya nyumbani, ukimuuliza anasema oh sijui nimemtumia mama mara kuna kitchen part nimetoa mchango agh yani bac tu.