ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
Yf anasema mii mchumi, madada wanaonizengea wanasema mii bahili!
Mweeeh.. Hivi yapo hayo..?
Hayo hufanywa pekee na wasiotambua nafasi zao...
Aiseee bora ntafute Mwanamke nimuowe anihudumie....! Kuhudumiwa raha jamani...!
Kwa nn hujawashauri wanawake wenye waume tegemezi wawape mitaji waume zao!? Naona habari yako ni km bado unakumbatia mfumo dume badala ya 50/50. Me nimesema tu lkn ingawa hujanitagg. Ngoja waje wenyewe.
Kwa mwanume, sio jambo zuri for sure.. Men are meant to sweat and provide for their women...
For women, I cant say much about that, because wengi hukatazwa kufanya kazi na waume zao.. This evident, kama sio kwenu, basi kwa jirani yenu. And this is the case in the Arab world.
ulikuwa hujui bestito yapo tenasana au wewe hujapitia nini?
Ha ha ha.. bado ila natafuta ili nieksipiriensi na mie..
Aiseee bora ntafute Mwanamke nimuowe anihudumie....! Kuhudumiwa raha jamani...!
Makubwa.....