mkubwa jumatatu haijafika au??Kwa mujibu wa taarifa nyeti ZILIZOTHIBITIKA, bodi itatangaza Loan Allocations kwa Selected Applicants jumatatu hii ya tarehe 3, september. Kila la kheri kwa siye maskini tutegemeao mikopo
sasa unadhan nani ataamin upuuzi kama huu!!! yan error ndo unaiona leo kwa nini hukuiona jana?? sasa kijana skiza kama huna uhakika na kitu better usiandike kitu humu,utafanya watu wasikuamin maisha yako yote hapa dunian....NARUDIA TENA KAMA HUNA UHAKIKA KAA KIMYA NA SIO KUTIA WATU PRESHA HUMU!!!!it was a typing error, ni JUMATANO 5th Sept. Na si Jumatatu 3rd Sept. Sorry for incovinience
it was a typing error, ni JUMATANO 5th Sept. Na si Jumatatu 3rd Sept. Isome tena post, BUT Sorry for incovinience
kijana chunga maneno yako!! kesho j5 itafika tu, ngoja nikusubirie
it was a typing error, ni JUMATANO 5th Sept. Na si Jumatatu 3rd Sept. Isome tena post, BUT Sorry for incovinience
duu bro unamzukaa
wewe hauna?? tatizo kijana anatubadilishia mambo na kuweka roho juu ngoja j5 ifike atasema aaaa!! kumbe ni Jmos
ahahahahaha
na ikifika kesho atakuambia vidole havina break atasema tarh 7 ijumaakijana chunga maneno yako!! kesho j5 itafika tu, ngoja nikusubirie
Sometimes october...hyo ndo kauli ya heslb.
uta edit sana mwaka huu....j5 ni kesho..uongo wako tutaujua tu!!!zilizothibitika
punguzeni presha vijana mkopo mtapata tu karibu tupate kilimanjaro baridi pande hizi
nusu ya mkopo wako utaishia huko,ila siyo mbaya c utaulipa 2.NDO MAANA UKAITWA MKOPO.
sasa ngoja nikwambie kitu mkuu....kwanza lazima ukubali wewe ni MUONGO na MROPOKAJI plus MKURUPUKAJI....ulisema j3 si ilifika??? ukasema tena j5,si imefika na imepita??? sasa unataka kusema nini ili tuamini wewe sio MWONGO WALA MROPOKAJI!!!! lazima ujifunze katika maisha hamna kitu kibaya kama kusema uongo na kutokuaminika na jamii!! sasa kama mimi niko mahali unadhan ukija ntakuamini tena kwa uongo huu uliopitiliza...zilizothibitika