Gilbert A Massawe
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 5,922
- 4,715
UchawaKesho Ni Mwenyekiti wa Chadema Atafikishwa Mahakamani kusomewa mashataka yake Ya Uhani , na Uchochezi
Tunaendelea kulishauri Jeshi La Polisi Kanda Maalum kuendeleza mwendo ule Ule Kuhakikisha Shughuli za Wananchi Zinaendelea Salama na kuepusha wale wenye nia ovu na wanapanga Kuleta Fujo Mahakamani
Week Mbili ziliripotiwa zipo Taarifa za Baadhi ya Wafausi wa Lissu Jina la T 9 kupanga njama za Kuchoma mahakama na Vituo kadhaa vya Polisi.
Tunalisihi Jeshi Letu lisicheke na Kima hasa walipewa ahadi za kupelekwa uhamishoni Nchini Canada, Ubeljiji na Ujerumani ambao ndio wanaongoza vikundi hivyo vya vurugu na uhaini nchini.
GM Upanga Dsm.
Huyo siyo Chawa ni MtumwaUchawa
🌈Kesho Ni Mwenyekiti wa Chadema Atafikishwa Mahakamani kusomewa mashataka yake Ya Uhani , na Uchochezi
Tunaendelea kulishauri Jeshi La Polisi Kanda Maalum kuendeleza mwendo ule Ule Kuhakikisha Shughuli za Wananchi Zinaendelea Salama na kuepusha wale wenye nia ovu na wanapanga Kuleta Fujo Mahakamani
Week Mbili ziliripotiwa zipo Taarifa za Baadhi ya Wafausi wa Lissu Jina la T 9 kupanga njama za Kuchoma mahakama na Vituo kadhaa vya Polisi.
Tunalisihi Jeshi Letu lisicheke na Kima hasa walipewa ahadi za kupelekwa uhamishoni Nchini Canada, Ubeljiji na Ujerumani ambao ndio wanaongoza vikundi hivyo vya vurugu na uhaini nchini.
GM Upanga Dsm.
Unyumbu wa kisiasa ni tabia ya wanaopewa dhamamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza na kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga wa kuigiza kwa viongozi wao, (unafiki), a.k.a kujizima data kwassa uchawa tuseme kuahirisha kufikiri kizalendoKesho Ni Mwenyekiti wa Chadema Atafikishwa Mahakamani kusomewa mashataka yake Ya Uhani , na Uchochezi
Tunaendelea kulishauri Jeshi La Polisi Kanda Maalum kuendeleza mwendo ule Ule Kuhakikisha Shughuli za Wananchi Zinaendelea Salama na kuepusha wale wenye nia ovu na wanapanga Kuleta Fujo Mahakamani
Week Mbili ziliripotiwa zipo Taarifa za Baadhi ya Wafausi wa Lissu Jina la T 9 kupanga njama za Kuchoma mahakama na Vituo kadhaa vya Polisi.
Tunalisihi Jeshi Letu lisicheke na Kima hasa walipewa ahadi za kupelekwa uhamishoni Nchini Canada, Ubeljiji na Ujerumani ambao ndio wanaongoza vikundi hivyo vya vurugu na uhaini nchini.
GM Upanga Dsm.
Naona unachangia kwq huruma sana, kutetea ujinga siyo kazi ndogo aisee 🤣🤣🤣Itawatia maradhi hao ufipa taarifa kama hizi hawapendi kusikia..
Virungu vya kisasa naskia zina uwezo wa kufanya kazi kwa njia ya Online, wanakituma tuu kinaenda kugawa haki kwa waandamanaji 🔥Contena za virungu vya kisasa limeingia juzi tunaamini Polisi watasimamia amani vizuri.
Naomba kesho tuonane pale cafeteria tujadili jambo mkuuVirungu vya kisasa naskia zina uwezo wa kufanya kazi kwa njia ya Online, wanakituma tuu kinaenda kugawa haki kwa waandamanaji 🔥
Hawa ni wale fake protestors, kipindi Gen-Z wa Kenya wanaandama, tulishuhudia fake protestors, wengi wana masks,na mapanga wa kipora ili kuwasaidia police kenya, sababu za kupinga maandamano ya kweli,the same applied ni hikiWewe jamaa ni Mjinga, lakini kuna kila dalili kwamba pia ni Masikini wa akili na Hela, Nakuombea uendelee kutumikishwa kama mashine hadi utakapokufa
Punguza mbege iliyo lala we fala.Kesho Ni Mwenyekiti wa Chadema Atafikishwa Mahakamani kusomewa mashataka yake Ya Uhani , na Uchochezi
Tunaendelea kulishauri Jeshi La Polisi Kanda Maalum kuendeleza mwendo ule Ule Kuhakikisha Shughuli za Wananchi Zinaendelea Salama na kuepusha wale wenye nia ovu na wanapanga Kuleta Fujo Mahakamani
Week Mbili ziliripotiwa zipo Taarifa za Baadhi ya Wafausi wa Lissu Jina la T 9 kupanga njama za Kuchoma mahakama na Vituo kadhaa vya Polisi.
Tunalisihi Jeshi Letu lisicheke na Kima hasa walipewa ahadi za kupelekwa uhamishoni Nchini Canada, Ubeljiji na Ujerumani ambao ndio wanaongoza vikundi hivyo vya vurugu na uhaini nchini.
GM Upanga Dsm.
Inatakiwa ukamatwe ukasaidie polisi juu ya hao T9,msiwe mnatupa hofu wananchi kwa upuuzi wenu,inaonekana wewe ni mmoja wao hao magaidi unaosema wana ajenda mbaya.Kesho Ni Mwenyekiti wa Chadema Atafikishwa Mahakamani kusomewa mashataka yake Ya Uhani , na Uchochezi
Tunaendelea kulishauri Jeshi La Polisi Kanda Maalum kuendeleza mwendo ule Ule Kuhakikisha Shughuli za Wananchi Zinaendelea Salama na kuepusha wale wenye nia ovu na wanapanga Kuleta Fujo Mahakamani
Week Mbili ziliripotiwa zipo Taarifa za Baadhi ya Wafausi wa Lissu Jina la T 9 kupanga njama za Kuchoma mahakama na Vituo kadhaa vya Polisi.
Tunalisihi Jeshi Letu lisicheke na Kima hasa walipewa ahadi za kupelekwa uhamishoni Nchini Canada, Ubeljiji na Ujerumani ambao ndio wanaongoza vikundi hivyo vya vurugu na uhaini nchini.
GM Upanga Dsm.
Huyu sio Mchaga, kwao ni Geita, hilo ni jina la uongoPunguza mbege iliyo lala we fala.
Cafeteria Ndo wap Mkuu, isije ukawa UK Kuna eneo linaitwa cafeteriaNaomba kesho tuonane pale cafeteria tujadili jambo mkuu