Wataalamu wa maswala ya sheria mnaweza kutoa clarifications.
Je ..baada ya kesi ya mshukiwa wa utejaji na utesaji wa Dr Ulimboka kwisha,kuna uwezekano Dr Ulimboka akafungua mashtaka dhidi yac Ighondu?
hivi unatumia bundle ya namna gani mpaka mnaupload/download hizi You tubes?
Back to topic...Dr Ulimboka alishaonja mauti, sidhani kama kuna jambo laweza kumtisha tena maishani.anaweza kula hela na kuukazia msimamo ule ule.Nadhani muda wa kulipa maovu ya Ighondu et al unakaribia.