Ulilipendea nin jina lako la JF

mbweta

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2010
Posts
600
Reaction score
81
Yan nimekutana na majina mazuri na mabaya hapa Jf, mengine yanafurahisha ukilisoma tu waanza mjengea picha alivo. Mie binafsi wakati nipo O-level kulikuwa na mdada anamasaburi balaa tukawa tunaita Mbweta tang hapo jina likawa lipo kichwana nlivokuja jiunga JF nkaona nilitumie. We je ni kipi kilikusukuma kuachagua ilo jina?
 
who knwz,........and who cares?
 
Muwe mnaserch na kusoma tushajadili hili jambo mara nyingi sana
 
Muwe mnaserch na kusoma tushajadili hili jambo mara nyingi sana

Niambie jinsi ya kusearch na kujua isha postiwa mana wengne vimobile vyet hatuwez peruzi kwa sana. Thanx 4 remind.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…