S Slow pancha Senior Member Joined Mar 16, 2013 Posts 182 Reaction score 121 Nov 19, 2013 #41 Kamtega mtu,mbona exsost juu?ana lake jambo huyo ulevi gani huo
andate JF-Expert Member Joined Jun 9, 2011 Posts 2,651 Reaction score 1,024 Nov 19, 2013 #42 Slow pancha said: Kamtega mtu,mbona exsost juu?ana lake jambo huyo ulevi gani huo Click to expand... kachanganya pombe na mkojo wa popo, kaamua kulala kichwa chini miguu juu kama popo.
Slow pancha said: Kamtega mtu,mbona exsost juu?ana lake jambo huyo ulevi gani huo Click to expand... kachanganya pombe na mkojo wa popo, kaamua kulala kichwa chini miguu juu kama popo.
S Slow pancha Senior Member Joined Mar 16, 2013 Posts 182 Reaction score 121 Nov 19, 2013 #43 Duh!ulewaji gani kaangusha gari exsost juu,au anamtega mtu?ngoja akojolewe
Tusker Bariiiidi JF-Expert Member Joined Jul 3, 2007 Posts 5,554 Reaction score 2,158 Nov 19, 2013 #44 Katavi said: Wapi huko? Click to expand... P-Funk alipata ajali mbaya zaidi ya hiyo Chooni kwake alikuwa anajisaidia usiku "kwa sasa ana jeraha kubwa kwenye paji la uso nyuzi kibaooooo" google tu.
Katavi said: Wapi huko? Click to expand... P-Funk alipata ajali mbaya zaidi ya hiyo Chooni kwake alikuwa anajisaidia usiku "kwa sasa ana jeraha kubwa kwenye paji la uso nyuzi kibaooooo" google tu.
morphine JF-Expert Member Joined Jan 26, 2012 Posts 3,505 Reaction score 1,102 Nov 19, 2013 #45 Hii nzuri lazma akiamka asubuhi harudii tena kupiga mtungi.
Bazazi JF-Expert Member Joined Aug 18, 2008 Posts 2,806 Reaction score 3,502 Nov 19, 2013 #46 FUSO said: Hapo jamaa yupo HoLwood kwenye casino la nguvu na kina PAFU DADI. Click to expand... FUSO Huyo amekaa mkao wa kifiro Matiti mabega Akiamka atakuwa na raha mstarehe Kwani shida ya kulala hivyo ni kusuguliwa mnyelo Bazazi Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
FUSO said: Hapo jamaa yupo HoLwood kwenye casino la nguvu na kina PAFU DADI. Click to expand... FUSO Huyo amekaa mkao wa kifiro Matiti mabega Akiamka atakuwa na raha mstarehe Kwani shida ya kulala hivyo ni kusuguliwa mnyelo Bazazi