B bibi.com JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 1,153 Reaction score 655 Oct 11, 2014 #21 OLESAIDIMU said: Mmmh hiyo vita usiianze maana hao wanawake wachache walioaminiwa tu mambo yao hata wewe umeshuhudia, tuangalie uwezo zaid kuliko jinsia!!! Huwa unaangalia luninga? ?!!! Click to expand... Naangalia luninga ila sioni tofauti ya wanaume wala wanawake wote tuko weak . May be kuna tatizo kidogo na hii rangi nyeusi
OLESAIDIMU said: Mmmh hiyo vita usiianze maana hao wanawake wachache walioaminiwa tu mambo yao hata wewe umeshuhudia, tuangalie uwezo zaid kuliko jinsia!!! Huwa unaangalia luninga? ?!!! Click to expand... Naangalia luninga ila sioni tofauti ya wanaume wala wanawake wote tuko weak . May be kuna tatizo kidogo na hii rangi nyeusi
B bibi.com JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 1,153 Reaction score 655 Oct 11, 2014 #22 OLESAIDIMU said: Mmmh hiyo vita usiianze maana hao wanawake wachache walioaminiwa tu mambo yao hata wewe umeshuhudia, tuangalie uwezo zaid kuliko jinsia!!! Huwa unaangalia luninga? ?!!! Click to expand... Halafu pia kwa wanawake wengi kuomba omba ni hulka yao ila kwa dume zima kupanda ndege kwenda kuomba omba ni aibu kubwa!
OLESAIDIMU said: Mmmh hiyo vita usiianze maana hao wanawake wachache walioaminiwa tu mambo yao hata wewe umeshuhudia, tuangalie uwezo zaid kuliko jinsia!!! Huwa unaangalia luninga? ?!!! Click to expand... Halafu pia kwa wanawake wengi kuomba omba ni hulka yao ila kwa dume zima kupanda ndege kwenda kuomba omba ni aibu kubwa!
ngorope JF-Expert Member Joined Jul 15, 2011 Posts 1,112 Reaction score 243 Oct 11, 2014 #23 Simiyu Yetu said: Taifa bado linawatanzania wajinga kama wewe hao wazungu ndiyo bwana zako wa kuendesha maisha yako mpaka ukae unaweka maandiko yao humu kweli watumwa mpo wengi. Click to expand... kweli mkuu ndio maana rais wetu kila siku yuko huko kwa wazungu kuzungusha bakuli kama matonya hivi utumwa huu wa fikra utaisha lini?
Simiyu Yetu said: Taifa bado linawatanzania wajinga kama wewe hao wazungu ndiyo bwana zako wa kuendesha maisha yako mpaka ukae unaweka maandiko yao humu kweli watumwa mpo wengi. Click to expand... kweli mkuu ndio maana rais wetu kila siku yuko huko kwa wazungu kuzungusha bakuli kama matonya hivi utumwa huu wa fikra utaisha lini?
K Kadogoo JF-Expert Member Joined Feb 26, 2007 Posts 2,073 Reaction score 347 Oct 11, 2014 #24 EU waanze na Marekani kwanza kabla ya TZ maana USA sio kunyonga tu bali wanaua wafungwa kwa sindano za sumu!
EU waanze na Marekani kwanza kabla ya TZ maana USA sio kunyonga tu bali wanaua wafungwa kwa sindano za sumu!