Kwanza kabisa niwape pole familia ya Kabendera, wengi wanaogopa kusema ukweli na makosa ya Kabendera kwa upande wake,kwa kuwa wataonekana hawana ubinaadamu
Lakini kama nchi, Kabendera aliikosea sana akaangalia maslahi yake akamtukana Rais atakavyo akainanga serikali atakavyo eti leo hii kuna watu ni watetezi wake na bado Jeshi la Polisi lilitoa sababu kwanini lilimkamata kwa kumvamia kwa kuwa alikaidi wito,je hapo hatuoni makosa ya Kabendera
Kwanini alikuwa hataki kuitikia wito kama huna kosa polisi ni rafiki na kwenda polisi sio kwamba umefungwa tayari ni mahojiano.
Kabendera alikuwa anaonyesha jeuri kuwa nyuma yake kuna ubalozi wa mmarekani na uingereza.
Ndio maana alikuwa anakaidi,bwana huyo anaonekana ana mambo mengi mabaya ana tuhuma za kukwepa kodi na kutakatisha fedha bado kuna watu wanatetea je mnaujua undani wake ilihali wengine wanakamatwa italy kwa kwa kusafirisha madawa.
Tuwache kupiga mayowe waachwe jeshi la polisi,mahakama wafanye kazi yao ndio watakaotoa maamuzi ya haki na sheria.
Angalizo hawezi kuwa mfungwa bila ya kutiwa hatiani na mahakama!
ujinga mtupu, swali sio amekosa au hajakosa swali ni kwanini alikamatwa na watu wasio julikana? na ni kwanini mwazo alishitakiwa kwa kutokuwa raia na badaye akageuziwa mashitaka ya uhujumu uchumi? jibuni kwanza hila halafu ndio tujadili mambo ya kumtukana huyo mwizi kutoka chato ICC inamsubili kwa hamu. asifikiri akilazimisha watu kukiri makosa ya kumbambikiwa kutafuta damu alizo mwaga.Kwanza kabisa niwape pole familia ya Kabendera, wengi wanaogopa kusema ukweli na makosa ya Kabendera kwa upande wake,kwa kuwa wataonekana hawana ubinaadamu
Lakini kama nchi, Kabendera aliikosea sana akaangalia maslahi yake akamtukana Rais atakavyo akainanga serikali atakavyo eti leo hii kuna watu ni watetezi wake na bado Jeshi la Polisi lilitoa sababu kwanini lilimkamata kwa kumvamia kwa kuwa alikaidi wito,je hapo hatuoni makosa ya Kabendera
Kwanini alikuwa hataki kuitikia wito kama huna kosa polisi ni rafiki na kwenda polisi sio kwamba umefungwa tayari ni mahojiano.
Kabendera alikuwa anaonyesha jeuri kuwa nyuma yake kuna ubalozi wa mmarekani na uingereza.
Ndio maana alikuwa anakaidi,bwana huyo anaonekana ana mambo mengi mabaya ana tuhuma za kukwepa kodi na kutakatisha fedha bado kuna watu wanatetea je mnaujua undani wake ilihali wengine wanakamatwa italy kwa kwa kusafirisha madawa.
Tuwache kupiga mayowe waachwe jeshi la polisi,mahakama wafanye kazi yao ndio watakaotoa maamuzi ya haki na sheria.
Angalizo hawezi kuwa mfungwa bila ya kutiwa hatiani na mahakama!
Kwanza kabisa niwape pole familia ya Kabendera, wengi wanaogopa kusema ukweli na makosa ya Kabendera kwa upande wake,kwa kuwa wataonekana hawana ubinaadamu
Lakini kama nchi, Kabendera aliikosea sana akaangalia maslahi yake akamtukana Rais atakavyo akainanga serikali atakavyo eti leo hii kuna watu ni watetezi wake na bado Jeshi la Polisi lilitoa sababu kwanini lilimkamata kwa kumvamia kwa kuwa alikaidi wito,je hapo hatuoni makosa ya Kabendera
Kwanini alikuwa hataki kuitikia wito kama huna kosa polisi ni rafiki na kwenda polisi sio kwamba umefungwa tayari ni mahojiano.
Kabendera alikuwa anaonyesha jeuri kuwa nyuma yake kuna ubalozi wa mmarekani na uingereza.
Ndio maana alikuwa anakaidi,bwana huyo anaonekana ana mambo mengi mabaya ana tuhuma za kukwepa kodi na kutakatisha fedha bado kuna watu wanatetea je mnaujua undani wake ilihali wengine wanakamatwa italy kwa kwa kusafirisha madawa.
Tuwache kupiga mayowe waachwe jeshi la polisi,mahakama wafanye kazi yao ndio watakaotoa maamuzi ya haki na sheria.
Angalizo hawezi kuwa mfungwa bila ya kutiwa hatiani na mahakama!
UngaManji naye alikuwa na makosa gani vile
Jambo la kheri ni kwamba amekiri kosa na kulipa nusu ya mzigo husikaKwanza kabisa niwape pole familia ya Kabendera, wengi wanaogopa kusema ukweli na makosa ya Kabendera kwa upande wake,kwa kuwa wataonekana hawana ubinaadamu
Lakini kama nchi, Kabendera aliikosea sana akaangalia maslahi yake akamtukana Rais atakavyo akainanga serikali atakavyo eti leo hii kuna watu ni watetezi wake na bado Jeshi la Polisi lilitoa sababu kwanini lilimkamata kwa kumvamia kwa kuwa alikaidi wito,je hapo hatuoni makosa ya Kabendera
Kwanini alikuwa hataki kuitikia wito kama huna kosa polisi ni rafiki na kwenda polisi sio kwamba umefungwa tayari ni mahojiano.
Kabendera alikuwa anaonyesha jeuri kuwa nyuma yake kuna ubalozi wa mmarekani na uingereza.
Ndio maana alikuwa anakaidi,bwana huyo anaonekana ana mambo mengi mabaya ana tuhuma za kukwepa kodi na kutakatisha fedha bado kuna watu wanatetea je mnaujua undani wake ilihali wengine wanakamatwa italy kwa kwa kusafirisha madawa.
Tuwache kupiga mayowe waachwe jeshi la polisi,mahakama wafanye kazi yao ndio watakaotoa maamuzi ya haki na sheria.
Angalizo hawezi kuwa mfungwa bila ya kutiwa hatiani na mahakama!
Stupid.Kwanza kabisa niwape pole familia ya Kabendera, wengi wanaogopa kusema ukweli na makosa ya Kabendera kwa upande wake,kwa kuwa wataonekana hawana ubinaadamu
Lakini kama nchi, Kabendera aliikosea sana akaangalia maslahi yake akamtukana Rais atakavyo akainanga serikali atakavyo eti leo hii kuna watu ni watetezi wake na bado Jeshi la Polisi lilitoa sababu kwanini lilimkamata kwa kumvamia kwa kuwa alikaidi wito,je hapo hatuoni makosa ya Kabendera
Kwanini alikuwa hataki kuitikia wito kama huna kosa polisi ni rafiki na kwenda polisi sio kwamba umefungwa tayari ni mahojiano.
Kabendera alikuwa anaonyesha jeuri kuwa nyuma yake kuna ubalozi wa mmarekani na uingereza.
Ndio maana alikuwa anakaidi,bwana huyo anaonekana ana mambo mengi mabaya ana tuhuma za kukwepa kodi na kutakatisha fedha bado kuna watu wanatetea je mnaujua undani wake ilihali wengine wanakamatwa italy kwa kwa kusafirisha madawa.
Tuwache kupiga mayowe waachwe jeshi la polisi,mahakama wafanye kazi yao ndio watakaotoa maamuzi ya haki na sheria.
Angalizo hawezi kuwa mfungwa bila ya kutiwa hatiani na mahakama!
Hv huu upuuzi mnaondikaga hapa kisa buku saba una uhakika ametakatisha fedha? Unapompa kesi ya kumnyima dhamana si umemfunga tu hapo leo rugemalila ana miaka mingapi jela jinga kabisa ww na mtu akishikwa na madawa ya kulevya inatuhusu nini sisi hio ni personal interest zake