Ukweli ni kwamba

ndo maana wanatudanganya sana
Mwanaume ambae hampendi madam b haheshimu tamaa zake
amemaanisha mwanaume ambae hajawahi kumdanganya mwanamke,haheshimu hisia za huyo mwanamke
 
Ili uishi nae vizuri bila ugomvi mwanamke basi uwe unamdanganya tu. Uongo kwenda mbele ndipo Amani utaipata.
 
Ushimen njoo unifafanulie huku
Sio kweli mkuu, hiyo ni moja ya misemo tu kama ya kwenye khanga/vijora ambayo sisi wanaume tuanitumia ili kuhalalisha mauongo yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…