Ukweli ndo huu.

The patriot man

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2015
Posts
1,124
Reaction score
1,459
Habari wana Jf

iko ivi usidanganyike na muonekano wa mtu kwa nje kua kavaa kapendeza vizuri
ukitaka kumjua mtu ni mstaarabu na msafi mfanyie suprise chumba anacholala hapo ndo utapata majibu kamili jamani kuna watu ukiingia chumbani kwake anakolala unaweza kupata mshutko
coz anvyoo vaa na anavyoonekana ni vitu viwili tofauti[emoji3] [emoji3] mtu ni gentlemen kumbe analala dampo[emoji3] [emoji3]

muonekano wa sehemu unakolala ndivo unavyo kusadifu ulivo.
 
Hahahaha "gentlemen kumbe analala dampo[emoji16][emoji16]"

Kuna hitajika marekebisho makubwa sana,ukimuona tafadhari usimwache ebu mshauri hata akichukia wewe unakuwa umemaliza jukumu lako!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…