Kweli kabisa lakini ukweli mchungu timu yetu mbovu sanaJinga tu.Mpira dakika 90
Kumbe nawewe ni kolo kolo dundukaTutafika tu hata Kwa mijeredi mkuu
Utopolo ni lini mtakuwa na akili?Najaribu kupitapita mitandao mbalimbali, naona kila mtu anasema Simba itatinga hatua ya robo fainali, huku wakikubali kuwa timu yao ni dhaifu lakini bado wanang'ang'ania eti watafika huko...
Simba watamfunga Horoya bwasheeNajaribu kupitapita mitandao mbalimbali, naona kila mtu anasema Simba itatinga hatua ya robo fainali, huku wakikubali kuwa timu yao ni dhaifu lakini bado wanang'ang'ania eti watafika huko...
Timu inatakiwa ishinde basi siku hizi duniani kote hakunaga mpira mtamu.wanaojaribu kucheza mpira mtamu unaona wanaongezewa muda na marefaree.Kweli kabisa lakini ukweli mchungu timu yetu mbovu sana
Najaribu kupitapita mitandao mbalimbali, naona kila mtu anasema Simba itatinga hatua ya robo fainali, huku wakikubali kuwa timu yao ni dhaifu lakini bado wanang'ang'ania eti watafika huko...
Umesahau Viper ndio alimtoa Mazembe kwenye mabingwa ndio mkapangwa nae huko kwa waliofeliKolo FC safari yake imefika mwsho.. bila kukutana na hyo Timu mbovu ya Viper hizo point 6 angezisikia kwa Radio tu
Nyie ni mabingwa wa ligi gani?Umesahau Viper ndio alimtoa Mazembe kwenye mabingwa ndio mkapangwa nae huko kwa waliofeli
Champions League hakuna timu mbovu, timu mbovu zote zilitolewa na kutupwa Shirikisho
Waulize CAF kwa nini wakatuweka kwenye ligi ya mabingwa na nyie mkatupwa Shirikisho (kwa waliofeli)?Nyie ni mabingwa wa ligi gani?
Ni utaratibu tu umewabeba lakini nyinyi sio mabingwa na hata mwaka huu hamtakuwa mabingwa. Sasa mnavyojivuna mtadhani kweli ni mabingwa. Halafu hilo kombe la waliofeli mmepambana mara ngapi kulibeba na lini mmewahi kulibeba?Waulize CAF kwa nini wakatuweka kwenye ligi ya mabingwa na nyie mkatupwa Shirikisho (kwa waliofeli)?
Hatujabebwa, tulishinda dhidi hatu za awali za kufuzu mabingwa, nyie mkashindwa, hakuna cha kubebwa hapoNi utaratibu tu umewabeba lakini nyinyi sio mabingwa na hata mwaka huu hamtakuwa mabingwa. Sasa mnavyojivuna mtadhani kweli ni mabingwa. Halafu hilo kombe la waliofeli mmepambana mara ngapi kulibeba na lini mmewahi kulibeba?
Nyie ni mabingwa wa ligi gani?Hatujabebwa, tulishinda dhidi hatu za awali za kufuzu mabingwa, nyie mkashindwa, hakuna cha kubebwa hapo
Wakati akili zinagawiwa na Mungu wengine hawakuwepo.Mbona Horoya kashindwa kumfunga Vipers kama Simba alivyompiga. Ingekuwa mpira hesabu kama unavyosema basi Simba alitakiwa amfunge Horoya aliyeshindwa kumfunga Vipers.
Kwakuwa siyo yote yanawezekana..