pale serikali? Kabila gani wewe?HUo uzushi utawafikisha wapi CDM? hata kama kungekuwa na ukweli, binafsi naona bora ujangili kuliko UGAIDiIkiwa shutuma zinazotolewa dhidi ya katibu Mkuu wa CCM bwana Kinana kuhusika na ujangiri nizakweli basi, napata wasiwasi kuhusu uwezo wa serikali kudhibiti rasilimali za nchi. Au nd'o kusema kila mtu anachukua chake mapema?
Ndege inaposagirisha madawa ya kulevya haina maana mmliki wa ndege hiyo anafanya biashara ya madawa ya kulevya, huo ni uthibitisho tosha kuwa ni hoja ya uongo. Leta uthibitisho wa wazi kama ule wa Lwakatare mkuu, ile haina ubishi yule ni GAIDI.Thibitisha kuwa ni hoja ya kutungwa.
HAMUEZI KUMUOKOA LWAKATARE kwa utumbo kama huu, na kamwe hamuezi kutusahaulisha ukatili wa LWAKATARE.Weka mbali na Tembo.
MKuu unafikiri hilo wanaliona basi?SLA baada ya kumsaliti LUDOVICK na kushindwa kumuokoa LWAKATARE sasa ameona pige majungu.Kwa kweli, heri katibu mkuu, muongo, mfitini, mnafiki, mzinzi, mwezi mchanga na kibabu.
Haya ni mambo ya kitoto sana.Weka mbali na Tembo.
MKuu unafikiri hilo wanaliona basi?SLA baada ya kumsaliti LUDOVICK na kushindwa kumuokoa LWAKATARE sasa ameona pige majungu.
Angalia na wewe utawekwa mbali.Weka mbali na Tembo.
Tena wataanza wewe kukuuza!Hivi tembo wakiisha si watatuuza sisi?. Hivi imebaki miaka mingapi kinana kumaliza tembo wote?
Watanzania wana akili nyepesi sana!
Binafsi naamini ni tatizo la upungufu wa mlo kamili ndio chanzo cha upeo mdogo wa watanzania wengi, mfano ni mleta mada.
Kwa akili ya kawaida kabisa, utagundua huyo mnafiki Msigwa kushadadia suala la Kinana kuwa ana husika na ujangili ni kutaka umaarufu wa bei rahisi.
Wenzake wakina Zitto na makamanda wengine walikuwa wakiibua masuala ya siri mno ya kulihujumu taifa yanayo fanywa na watendaji wasio waadilifu. Ndio maana mchango wa Zitto katika kukomboa raslimali za nchi hauwezi kubezwa na yeyote yule.
Hili suala la Kinana ni la tangu 2008 huko, na INTERPOL walichunguza wakabaini kuwa Kinana ahusiki, sasa kelele za Msigwa za nini hapa? Kwenye ili Msigwa asahau kuwa atatambulika miongoni mwa wabunge machachali kwenye medani za siasa hapa nchini.
Inabidi watanzania mshtuke nia ya huyu Msigwa kupeleka hotuba iliyojaa masimango, kashfa na uongo wa kupitiliza pale bungeni, nia kubwa ya Msigwa ni kumchafua Katibu Mkuu wa CCM taifa, wala hakuwa na maslahi mengine zaidi ya ili.
Ila kama ilivyo ada, njia ya muongo ni fupi, watanzania wazalendo na wafatiliaji wameujua ukweli, na malengo ya Msigwa hayajatimia katika juhudi zake za kumchafua Kinana.
Akili yako haina tofauti na
mgonjwa wa kigwangala,ukiona mtu amekomalia hoja ya kutungwa lazima
upate wasiwasi na upeo wake.
Hivi tembo wakiisha
si watatuuza sisi?. Hivi imebaki miaka mingapi kinana kumaliza tembo
wote?
Mwambie Makinda amwamuru Msigwa atoe uthibitisho. thatha mbona Lema yeye aliambiwa aprove kuwa JK ni muasisi wa udini? Kwa nini huyu aliyetoa tuhuma nzito namna ile spika aminye? thatha tunajadili thuala la Kinana na thio la Lwakatare. Ilibidi Msigwa aambiwe athibitishe la sovyo inabaki kama Msigwa alivyosema. Kinana ni mtuhumiwa!Ndege inaposagirisha madawa ya kulevya haina maana mmliki wa ndege hiyo anafanya biashara ya madawa ya kulevya, huo ni uthibitisho tosha kuwa ni hoja ya uongo. Leta uthibitisho wa wazi kama ule wa Lwakatare mkuu, ile haina ubishi yule ni GAIDI.
Kwa kweli, heri katibu mkuu, muongo, mfitini, mnafiki, mzinzi, mwezi mchanga na kibabu.