Atakuwa hajanywa chai huyu..chezea ujobless [emoji3][emoji3]Piga hesabu zako vzr[emoji23][emoji23][emoji23] naona umejichanganya sehemu[emoji23][emoji23][emoji23]
Itakuwa kizazi cha Big Results NowSijui mtoa mada kama amemaliza mitihani ya Kidato cha nne
Wewe ni ngwiniWaombaji ni ~700,000
Wanaohitajika ni ~ 205
Idadi ya halmashauri ~185
Ukigawa hapo ni maximum watu wawili kwa kila halmashauri? (205÷185)
Watu wawili wataweza kufanya hiyo kazi? Ninachoona kuna possibility ya kuchukua nusu ya watu na tena wasitosheleze.
NB: Prediction ya sensa hii ni kuhesabu watu milioni 100 bado mifugo.
average counting per head 100,000,000÷205= ~ 500,000
Acha fikra mbovu, wewe mchawi niniHizo kazi tayari washaweka mahawara na mashemeji zao hii kutangazwa ni zugazuga na janjajanja tu ili tuone mchakato ukofea na unazingatia ushindani.