Ukweli kuhusu YAP-Tanzania

Daahh wat a shame wezi wakubwa hao wanasema wanatoa ajira alafu hawana hata. Webbssite
 
Usiogope mbona awo c matapeli coz kule zanzibar wanaofic zao hurumzi, na kuna watu walingia kweny iyo program hadi leo Wapo wanakula shavu

unajua nn, tatizo hizo date zao za training, mi wamenitumia jana na wamesema deadline ya kulipa ni tar 23 na training zinaanza tare 6 mwezi wa 9
 

tuwe eyes! How comes date za training zitofautiane?? Mi nilitumiwa na wakasema itaanza tar 6
 
Achana nao kaka matapeli mm nishawapotezea zamani tuu
 
 
Matapeli hao achaneni nao,transaction zote za kiofisi zinafanyika through bank,wao wametoa namba za simu,wezi hao wanataka kuwaibia wadogo zetu.
 
Wadau habar, Leo asubuhi yap volunteer jobs wamenitumia ujumbe kwenye email yangu ya kutaka nilipe elfu 50000 kwaajili ya registration, msaada jamani plz
 
piga chini umejitolea hasa ulipe tena hela ya nini usije pelekwa mjini aseeeeeeeee
 
Ndugu yangu hao nao ni wasaka ajira kama sisi usipojeze pesa zako ni matapel tu hao shauri yako
 
Toka lini jamaa wa sociology wakakuajiri? Hao nao ni job seeker kama wewe tena wengine wamemaliza mwaka huu tena hata kugraduate bado pia nao hatima ya maisha yao hawajui kesho itakuaje.
 
Hao ni matapeli nakushauri ndugu usitume hiyo fedha kama unayo ifanyie jambo lingine la msingi huwezi kujitolea halafu ulipe tena kwa ajili ya usajili.
 
Wadau habar, Leo asubuhi yap volunteer jobs wamenitumia ujumbe kwenye email yangu ya kutaka nilipe elfu 50000 kwaajili ya registration, msaada jamani plz

Registration kwa ajili ya ku-volunteer ndio mwatozwa hela?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…