Kiujumla...wanawake wanapenda vitu ambavyo wao hawana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao ni delicate hawatakiwi kupigwa,hata mkipishana kauli..ndio maana hata uko ulimwenguni ukionekana umempiga mwanamke,adhabu yake sio mchezo.Ili kutekeleza maagizo yako ntaanza kushusha mabanzi kwa shemeji yako
Siyakudumisa Nkosi Yezulu
Hao ni delicate hawatakiwi kupigwa,hata mkipishana kauli..ndio maana hata uko ulimwenguni ukionekana umempiga mwanamke,adhabu yake sio mchezo.
ha ha ha ha haya endeleza na kudumisha milaThis is Africa. Kushusha Mabanzi ni Jadi yetu
Siyakudumisa Nkosi Yezulu
Ukweli ni kuwa;
Kadiri unamvyompenda sana mwanamke ,ndivyo unavyokaribia kumpoteza.
Wanawake kiujumla wanavutiwa na wanaume walio wababe, wenye misimamo na wasiojali sana. Wanawake hawapendi wanaume wapole sana.
Ukimsikiliza sana anachokitaka....Mwanamke anakudharau. Wanasema wanapenda maneno matamu kutoka kinywani mwa mwanaume lakini ukweli sio wanavyomaanisha.
Kiujumla...wanawake wanapenda vitu ambavyo wao hawana.
Naomba nikupe wosia kuhusu wanawake....mwanamke anapenda shuruba kiasi, kunyanyaswa kidogo katika mapenzi. Sisemi usiwe romantic...bali kuwa kwa kiasi. Usipende kumsikiliza sana.
Naunga mkono hoja zako kwa asilimia miamoja (100%)Ukweli ni kuwa;