Ukweli kuhusu wanaume!


Kama kuna kundi sijaliona?; men who r ugly , not nice, with no money...hawa wana tabia gani?
 
hao kama sikosei huwa solitary sana Dero
 
Last edited by a moderator:
Nimepita mpaka chumbani au umenikaribisha sebuleni tu.

ILi saudaru ni dume hakyanani
Kama ni jike limekeketwa
!!'Kama nabisha chekini atakavyonijibu apa!! No mvuto kabisaa!!tuuuuuu
NO LiKe
 
We umesema kwamba mwenye izo sifa apo anapakuliwa
Mbona mie ninazo afu sipakuliwi??
MAkU KOMA mkUBWA weWe

Subiri siku si nyingi na wewe utapakuliwa kama UBWABWA.
 
Subiri siku si nyingi na wewe utapakuliwa kama UBWABWA.

Dah unavyontusiii mweee
MUNGU NaoMba unilinde vidole VYANGU
NiSImTUsi uyU mtu ili niweze nikaepuka ban
Nisherekee mwaka mpya nawana jamvi vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…