Mimi nakataa!Katika raha ya kiwango cha juu sana kuliko zote duniani ni ile raha ya kujamiana ambayo wengi husema utamu.ule sio utamu Bali ni raha kwa sababu utamu huonjwa kwa ulimi.ili kutambua utamu lazima ulimi uhusike.
Raha ya tendo la ndoa ni raha ya juu sana kuliko zote ikifuatiwa na raha ya kujisaidia.na pia ni raha ambayo maskini na matajiri wanaipata bila shida
Raha ya kujamiana ni Muunguniko wa hisia za hali ya juu kati ya msuguano wa uke na uume na ufahamu(conscious mind) ambapo mtu anafikia kiwango cha juu cha raha kikimalizika kwa kupiga bao kwa mwanaume na mwanamke kufika kileleni ambapo mwili wote na mishipa mbalimbali mwilini huhusika ili kufika kileleni.raha ya kujamiana ni raha ya juu sana mpaka wengine hupiga kelele na kulia.wengine hata imetokea wanajamiana porini wanakaribia kupiga bao nyoka akatokea ghafla lakini wakaendelea na kumwambia nyoka toka toka toka ilimradi wasikatishe kufika kileleni
MASWALI YA MSINGI JE ile raha au utamu wakati wa kujamiana unatoka wapi?je mwanaume anapojamiana utamu anaoupata unatoka kwa mwanamke au kwake mwenyewe na mwanamke je unatoka kwa mwanaume au kwake mwenyewe.JIBU NI KWAMBA mwanamke na mwanaume wanapojamiana utamu kila mtu anao mwenyewe.kinachokusaidia kupata utamu kwa mwanamke na mwanaume ile msuguano wa uke na uume mpaka kufikia kileleni.tendo LA ndoa ni swala LA kisaikolojia zaidi hivyo hakuna mwanamke Mtamu kuliko mwingine swala ni kucontrol msuguano. wanawake wote ni sawa.kinachofanya uhisi mwanamke mwingine mtamu kuliko mwingine ni hisia zako na saikolojia yako juu ya huyo mwanamke umbo lake, rangi yake, size yake.ndio maana wanaume wengine huhisi wanawake wanene ndio watamu wengine wanahisi weupe ndio watamu yote ni hisia tu.bucha mbalimbali nyama ni ileile.
NB.UTAMU WA KUJAMIANA UNAO MWENYEWE Kazi ya mwanamke ni kuactivate au kumotivate utamu ulionao mwenyewe.acha kubadili wanawake kwa kutafuta utamu.utamu ni uleule.
Bado hiyo ni hisia yako ukiwa na uwoya unahisi raha sana.lakini utamu unao mwenyewe ila maumbile yao yanakufanya uhisi utamu zaidiMimi nakataa!
Utamu wa mapenzi unategemea na mtu,huwezi kufananisha utamu unaopata ukiwa na irene uwoya na mwajuma sura mbaya wa Tandare.
Mimi nakataa!
Utamu wa mapenzi unategemea na mtu,huwezi kufananisha utamu unaopata ukiwa na irene uwoya na mwajuma sura mbaya wa Tandare.
Utamu wa mapenzi ni feelings si kusugua K mkuu!Bado hiyo ni hisia yako ukiwa na uwoya unahisi raha sana.lakini utamu unao mwenyewe ila maumbile yao yanakufanya uhisi utamu zaidi
Issue sio umbo la mwanamke issue Ni umbile la papuchi yenyew.. Ziko loose, zipi tight, ziko wet zipo dry, zipo zenye kina kirefu zipo zenye kina kifupi, zipo zenye critoris ndefu, zenye zenye critoris fupi, zipo za moto, zipo za baridi.. All in All wanawake wako tofauti sana hapo Kati.. Na utamu wao Ni tofauti Kabisa achilia mbali nakshi nakshi walizonazo mf kunyumbulika na kumwaga uno.. Tatizo hili sio jukwaa Letu lile, ningefunguka zaidi.Tupe utofauti.wanaume wengine wanapenda wanene wengine wembamba.inamaana swala LA kujamiana ni swala LA hisia na saikolojia.tupe utofauti ukoje
Kama nimemuelewa amesema utamu wa mapenzi hautegemei na mtu unayefanyanaye ila wewe mwenyewe kitu ambacho sio kweliSasa kwani jamaa yeye kasemaje.......?......umemuelewa lakini......?....
Hapo kwenye papuchi nakubaliana na wewe kwa kiasi fulani.hizo ni special caseIssue sio umbo la mwanamke issue Ni umbile la papuchi yenyew.. Ziko loose, zipi tight, ziko wet zipo dry, zipo zenye kina kirefu zipo zenye kina kifupi, zipo zenye critoris ndefu, zenye zenye critoris fupi, zipo za moto, zipo za baridi.. All in All wanawake wako tofauti sana hapo Kati.. Na utamu wao Ni tofauti Kabisa achilia mbali nakshi nakshi walizonazo mf kunyumbulika na kumwaga uno.. Tatizo hili sio jukwaa Letu lile, ningefunguka zaidi.