For the time being, sioni atapiga vipi labda kama kweli kuna ndoa basi ndoa hiyo idumu kwa muda mrefu! Alipiga za kutosha toka kwa Ivan kwa sababu aliishi na Ivan kwa muda mrefu na ingawaje tangu hapo Ivan alikuwa na hela lakini ali-make zaidi alipokuwa na Zari na hivyo kuonekana kwamba utajiri wao ni kama umetafutwa na wote!
Lakini kwa hapa tulipo kuhusu Zari na Diamond, unless kama nilivyosema waende mbali zaidi, lakini kwa sasa Zari kila kitu amekikuta. Hata leo Zari akijifungua na kuthibitika kwamba mtoto ni wa Diamond kisha wakaachana, bado Zari hawezi kupata kitu... labda aombee Diamond afe, kisha Zari ale vya Diamond kupitia urithi wa mtoto! Wakiachana wakati ndoa haijafika mbali, sana sana atakachoambua ni pesa za matunzo ya mtoto! Mbaya zaidi, unless iwe vinginevyo, kwenye Uislamu hakuna "cha mali hii tumechuma wote" bila kuonesha tangible contribution kwenye mali husika unless kama ni suala la kurithi na sio ugawanaji baada ya ndoa kuvunjika!
Hii ndoa mie siwezi ku-conclude kwamba kweli imefungwa na kama wakiamua kufunga, wala hawatakuwa na sababu ya kufunga ndoa ya Kikristo wala ya kiserikali! Hata hivyo, kama watafunga, Zari anaweza kuwa mjanja na kutaka ndoa ya serikali kuliko ya Kiislamu hususani kama anafahamu kwamba kwenye ndoa za Kiislamu, mgawanyo wa mali unategemea mwana-ndoa una % ngapi kwenye mali husika... hakuna yale mambo ya huyu anavunja mawe usiku kucha, mkiachana mnagawana sawa kwa sawa simply because wakati mwanaume anavunja mawe, mwanamke alibaki nyumbani anapika!!!Diamond anajua kucheza na akili za watu, kashajua wabongo ni wambea, ivi diamond na zari si wote waislamu? Iweje wafunge ndoa ya kikristo? Bora ata mmoja angekuwa mkristo tungesema kamfuata mwenzie, ila wabongo sisi hatukufirikia hvyo, tukajua kushabikia tu ndoa dah kumbe changa la machp
Diamond anajua kucheza na akili za watu, kashajua wabongo ni wambea, ivi diamond na zari si wote waislamu? Iweje wafunge ndoa ya kikristo? Bora ata mmoja angekuwa mkristo tungesema kamfuata mwenzie, ila wabongo sisi hatukufirikia hvyo, tukajua kushabikia tu ndoa dah kumbe changa la machp
Wewe, hapa mtaani kwetu kuna team pwanya road alitaka kujiua kabisaa!
Wema mjinga sana, na hata humu jamvini nimewahi kusema kwamba ni mjinga kwa kushindwa kutumia nafasi alipokuwa na Diamond! Wema kupitia nafsi yake ya uigizaji, kama angekuwa mjanja, angefanya mauzo sana ya filamu wakati yupo na Diamond! Kwa bahati mbaya, alidanganyika na maneno ya watu kwamba kuwapo kwa Diamond kunamtegemea Wema... kwamba Diamond anatembea na nyota ya Wema na mademu wengine, jambo ambalo mara zote humu nilikuwa nikipinga na leo ukweli umedhihiri... hakuna tena anayesema kwamba Diamond anatembelea nyota za Mademu bali mademu wenye akili kama Zari ndio wanatembelea nyota yake... jambo ambalo Wema alishindwa kulifanya ama kulitumia na kuishia kukatishwa maoni kwenye show!
Nasikia wema alikuwa analia alivyosikia ndomo kaoa, alichanganyikiwaje akawa anapiga simu kwa watu ovyo, mama ubaya anatia huruma nyie
Kingine kinachomponza wema ni kujirahisisha kwa mashabiki na waandishi wa habari, yeye kutwa anaongea na akina shakoor jongo wa global publisher, zari toka aje bongo hanaga na hataki kabisa mazoea na waandishi wa habar, wenyewe wanajua zari anachowafanyia wakimpigia simu, zari ni hadimu mno kuonekana live, wengi tunaishia kumuona kwenye mitandao, akienda sehemu zenye watu wengi anajificha hapendi kuonekana ovyo, ndivyo staa anavyotakiwa kuwa, kila mtu anakua na hamu ya kukuona. SIjawahi kusikia waandishi wa habar wa Tz kuongea au kumuuliza maswali ya kipuuzi zari, yule hatakagi mazoea ya kijinga, anajielewa mno
Lakini kwenye huu uhusiano, hata Diamond akiwa mjanja nae anaweza kunufaika! Mathalani, leo hii Diamond soko lake Uganda limepanda sana kuliko ilivyokuwa kabla ya kuwa na Zari... unajua soko la muziki la Uganda ni gumu sana kupenya ndio maana miaka nenda rudi, wanao-hit Uganda ni Waganda wenyewe and no body else specially from East Africa! Leo hii Diamond akiamua kupiga show Uganda, atajaza maradufu zaidi ya ile ambayo kama angepiga show kabla ya uhusiano wake na Zari na ndio maana hata sasa, Diamond amekuwa mdomoni mwa media za udaku Uganda pengine kuliko msaanii yeyote kutoka Tanzania na Kenya! Kwahiyo, this's the opportunity for all ambayo ina-act kama Struggle in the Jungle... survival for the fitness... atakayekuwa mjanja zaidi ndie ata-make zaidi! Na endapo utaniuliza mimi, Diamond ndie mwenye nafasi ya ku-make zaidi kuliko Zari coz' show za Zari ni za msimu wakati muziki unaweza kupiga show hata mwezi mzima mfululizo, unahama viwanja tu!Zari anapiga pesa kwenye show kwa mgongo wa diamond, pia umaarufu wake umeongezeka maradufu baada ya kuwa na diamond, kwa mfanyabiashara anayejielewa kama zari kwake diamond ni mtaji mkubwa sana
Hata hivo zile picha kutoka kwa mzee wa kiki na caption eti sometimes usiri ni kitu kizuri mie nliona chenga.Nlifikiri ni photoshoot ya magazine, ila kuna mmbea wangu mmoja firstclass ndio akaniambia ni promo ya 1 may.
Kingine kinachomponza wema ni kujirahisisha kwa mashabiki na waandishi wa habari, yeye kutwa anaongea na akina shakoor jongo wa global publisher, zari toka aje bongo hanaga na hataki kabisa mazoea na waandishi wa habar, wenyewe wanajua zari anachowafanyia wakimpigia simu, zari ni hadimu mno kuonekana live, wengi tunaishia kumuona kwenye mitandao, akienda sehemu zenye watu wengi anajificha hapendi kuonekana ovyo, ndivyo staa anavyotakiwa kuwa, kila mtu anakua na hamu ya kukuona. SIjawahi kusikia waandishi wa habar wa Tz kuongea au kumuuliza maswali ya kipuuzi zari, yule hatakagi mazoea ya kijinga, anajielewa mno
Likizo imekua ndefu sanaaa
You're very right... Wema alijirahisisha mno, si tu kwa media bali hata kwa jamii! Wema ilikuwa akiingia mahali lazima mtafahamu tu kwamba Wema ameingia! In short, hajui kabisa kuishi kistaa...Kingine kinachomponza wema ni kujirahisisha kwa mashabiki na waandishi wa habari, yeye kutwa anaongea na akina shakoor jongo wa global publisher, zari toka aje bongo hanaga na hataki kabisa mazoea na waandishi wa habar, wenyewe wanajua zari anachowafanyia wakimpigia simu, zari ni hadimu mno kuonekana live, wengi tunaishia kumuona kwenye mitandao, akienda sehemu zenye watu wengi anajificha hapendi kuonekana ovyo, ndivyo staa anavyotakiwa kuwa, kila mtu anakua na hamu ya kukuona. SIjawahi kusikia waandishi wa habar wa Tz kuongea au kumuuliza maswali ya kipuuzi zari, yule hatakagi mazoea ya kijinga, anajielewa mno
Wala marafiki wa kijinga hana ye anapenda kua na diamond full time,marafiki mara moja moja ndio maana diamond katuliaa
Wala marafiki wa kijinga hana ye anapenda kua na diamond full time,marafiki mara moja moja ndio maana diamond katuliaa
Hili la Mei Mosi waliofichua ni Bongo5 siku ile ile ya kwanza! Hata hivyo, hawaku-conclude kwa 100% bali walichambua upigaji wa picha ulivyofanyika na finally wakaamini inawezekana ni changa la macho but specifically kwa ajili ya hiyo show ya Zari.Hata hivo zile picha kutoka kwa mzee wa kiki na caption eti sometimes usiri ni kitu kizuri mie nliona chenga.Nlifikiri ni photoshoot ya magazine, ila kuna mmbea wangu mmoja firstclass ndio akaniambia ni promo ya 1 may.
Nahisi umbeya kwa Kiingereza haunogi, kwa Kiswahili sasa, acha bwana!Zari anatakaga umbea yule, yeye mama ubaya kwa umbea ndo mwenyewe ndio maana kutwa yeye na mashost, zari yuko busy na bby wake ,ivi sintah bado wapo na zari? Sintah nae alimpatia wapi zari khaa yule andunje nae ana mambo
Zari anatakaga umbea yule?, yeye mama ubaya kwa umbea ndo mwenyewe ndio maana kutwa yeye na mashost, zari yuko busy na bby wake ,ivi sintah bado wapo na zari? Sintah nae alimpatia wapi zari khaa yule andunje nae ana mambo
You're very right... Wema alijirahisisha mno, si tu kwa media bali hata kwa jamii! Wema ilikuwa akiingia mahali lazima mtafahamu tu kwamba Wema ameingia! In short, hajui kabisa kuishi kistaa...
AHahahahhahaahhhah, khaa umbea huu ata mswaki sijapiga apa, lisura limenivimba hatar, ukiniona utakimbia, ivi hamna dawa za kupunguza virus vya umbea mwilin? Naona mie virus vinazidi kuzaliana mwilin, yani ni shidaaaa
Zari yupo ki staa zaidi na ndio maana couple yao imekubalika na wengi sana apa bongo, tofauti na matarajio ya watu, kwanza mtu unaanzaje kumponda zari? Mtoto mkali, ana mkwanja mrefu, anajua kuvaa na kuishi ki star, unaanzaje kumkataa au kumponda? Wema anachanganyikiwa kwa kuwa hakutegemea wabongo wangeipokea vizur couple ya ndomo na zari, hiko kinamchanganya pia... wabongo tunataka watoto wakali bwana na wanaojielewa