Zamani mtu akikonda hakuna namna ataambiwa umeme!siku hizi huskii hivyo tena.mtu akikonda sasahivi ni sukari,kansa au uteja yaani ndo habari ya mjini.
Siku hizi ngoma haikondeshi inanenepesha
Zamani mtu akikonda hakuna namna ataambiwa umeme!siku hizi huskii hivyo tena.mtu akikonda sasahivi ni sukari,kansa au uteja yaani ndo habari ya mjini.
Siku hizi ngoma haikondeshi inanenepesha
Namkubali BAGHDAD kuanzia mexcana mpaka sasa na ana nymbo na sauti sol pia nymbo yake ya nipe namba inayoishaur selkal pia nymbo ya folen kama unaziitaji ingia hapa..
nimemsikiliza baada ya kusoma kwako,anajitahidi, ila kama amejikondesha kwa hiari amekosea sana,labda kama anataka kucheza movie ya kuumwa kansa and the like