Travis Walker
JF-Expert Member
- Apr 10, 2017
- 323
- 335
Kabisa mkuu...watu walio erevuka wanao jua Mambo ...hutoa comment KonkiMapenzi!!?? Naona hili neno limepambwa na sifa zisizo zake.
Hakuna kitu mapenzi katika ubinadamu zaidi kila upendo wa kibinadamu una manufaa kwa anaeutekeleza. Maana yake ni kwamba kila anayempenda mtu kuna kitu ananufaika nacho au atanufaika nacho. That is the way of life.
Wazo piaNi kweli ila siyo kila mwanamke anahuruma kwako ila ni huyo alokubeba tumboni kwake miezi tisa maana wengine ni kuumiza,
Kwahiyo hata wanaume wanateswa sana na hao wanawake kikubwa ni KUPENDANA,KUTHAMINIANA,KUJALIANA,KUSHIRIKIANA ila siyo KUTAMANIANA
Eeh ni kweli faida sii ya kugegedanaKabisa mkuu...watu walio erevuka wanao jua Mambo ...hutoa comment Konki
mzabzab come and get schooled.
Kweli kabisaaaa mkuuWatu bado wamelala kwenye simulizi za kimapokeo za mapenzi hawataki kuuona uhalisia ulio mbele yao.
Mapenzi!!?? Naona hili neno limepambwa na sifa zisizo zake.
Hakuna kitu mapenzi katika ubinadamu zaidi kila upendo wa kibinadamu una manufaa kwa anaeutekeleza. Maana yake ni kwamba kila anayempenda mtu kuna kitu ananufaika nacho au atanufaika nacho. That is the way of life.
Usingeaema Hilo neno..ningeshangaaa..Eeh ni kweli faida sii ya kugegedana
Sasa kwani wee utaolewa na mwanaume ambaye hawezi kukugegeda mrembo?Usingeaema Hilo neno..ningeshangaaa..
Haiwezekani kabisa...DooohSasa kwani wee utaolewa na mwanaume ambaye hawezi kukugegeda mrembo?
16. Usimwamini mwanaume hata kwa uchache maana hujui ni lini atakugeuka hawa watu ni manyoka