Ukweli kuhusu majina ya waliochaguliwa nssf

kemilyn

Member
Joined
May 13, 2014
Posts
44
Reaction score
3
Samahan wadau, kuna majina 80 yalotumwa leo asubuh hvi yana ukweli wowote........... Kwa sasa link imetolewa ila kwa mwenye taarifa za ukweli naomba update
 
Samahan wadau, kuna majina 80 yalotumwa leo asubuh hvi yana ukweli wowote........... Kwa sasa link imetolewa ila kwa mwenye taarifa za ukweli naomba update

Yale majina hayahusiani na wale waliofanya interview ya NSSF bali amechanganya majina ya vijana waliochaguliwa kujiunga jeshi la polisi.
 
Last edited by a moderator:
jaman nssf bado ila soon yanatoka msijali nipo close na huyu mzee wa nssf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…