Sport mbona anavuta pakiti tena simple tu kawaida,yaani kila sigara anavuta,labda bangi na pombe ndo aliachaembassy kwani sigara ile??, nenda kajaribu kumpelekea sigara Kali, sport au pakti moja hamalizii kabisaa..!
Leo ni siku ya shetani JF!! Kule pembeni Copenhagen anasema ukimwi umeisha tz!huku Nako huyu anasema sigara si hatari! Mmetumwa?Humpendi mshauri aache, je ameenda kupima akaambiwa hana tatizo?
Yaani ukitaka kumuudhi mgombane mwambie masuala ya kuacha kuvuta sigaraHumpendi mshauri aache, je ameenda kupima akaambiwa hana tatizo?
Yaani ukitaka kumuudhi mgombane mwambie masuala ya kuacha kuvuta sigara
Hahaaaa!!! Umetimia kwa muda ganSigara nimeshindwa kuziacha daaah!!
Hahaaaa!!! Umetimia kwa muda gan
bado anavuta?Mi babayangu ameanza kuvuta sigara mwaka 1965 akiwa na miaka 18 na bangi ameanza kuvuta mwaka 1970 amekuwa addicted na vitu hivyo, anamaliza pesa vibaya, pia sasa hivi ana kikohozi sugu, anakohoa sana. Madhara yapo maana hata ngozi yake ya kizungu, ina black spots kutokana na lack of oxygen kwenye mapafu..