Ukweli kuhusu kodi ya majengo huu hapa

Jay Milionea

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2015
Posts
1,185
Reaction score
154
Kuna mijitu inapinga tu bila kujua Waziri alikisema nini kuhusu makusanyo ya nusu mwaka wa fedha 2018/19. Alisema 62% ni yale makusanyo ya nusu ya mwaka wa fedha tajwa hapo juu na sio makusanyo ya kipindi chote. Wengine wanabwabwaja tuu dah. Haya nimewawekea na video hiyo hapo ya Waziri Mpango.
 
Attachments

Ukitoa taarifa ambayo ina link na habari ya nyuma ni vema ukaweka link au ukatoa maelezo kidogo ili watu ambao hawana hiyo taarifa wajue kinachoendelea kwenye uzi wako mpya....sio kila mtu alisoma hiyo habari ya nyuma.
 
HABARI HII HAPA
 
Attachments

  • IMG_20190120_122155_350.jpg
    217.2 KB · Views: 28
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…