Ukweli kuhusu Dr. Slaa




kwanini usingesema I wish lowassa angekuwA mgombea mwenza? shida ninayopata ki chwani ni yy kuweka sharti la kutokugombea ikiwa atakuwa na kura ya maoni. lkn amevunja hats katiba kwa pesa yake. Mimi in mwanachadema ila simpendi tu lowassa.
 
Slaa amekuwa sooo selfish ni mbayaaa sanaaa, aangalie masilahi ya chama kwanza.
Hata hivyo mwenyekiti Mbowe au mwenyekiti yoyote yule ni ngumuuuu kumridhishaa kila mtu.
Wengi wape bwana.
Mbona yeye aliacha upadri akapokelewa uraiani, asituzenguwe bwana.
 
Madai ya Mbowe kupewa fedha na EL. Yapo madai kuwa Mbowe amehongwa sh. bil 12 ili kumpokea EL. Fedha hizi ameziweka kwenye akaunti yake binafsi na amewawia kidogo wale aliowaona wanaweza kumchallenge. baadhi ya watu waliopata mgao ni wajumbe wa kamati kuu ili kuwaziba mdomo. na si wajumbe wote bali wale wachache viherehere. baadhi yao ni Godbless Lema (anadaiwa kupokea milioni 120), Peter Msigwa (mil 135), Tundu Lissu (mil 180), Salum Mwalimu (Mil 180).

Nilihisi tu kuwa ni ngumu sana kwa Lisu ,Msigwa kukubali kirahisi kumpokea Lowasa ,kumbe wamepokea hongo? Upinzani unajiua wenyewe
 
Yes, nimeumia Dr kukaa pembeni nadhini na wapenda Siasa wote bila kujali vyama,kama mnakumbuka wakati anaombwa kugombea Urais alitoa mashrti. Moja wapo ni kupewa mshahala wa mbunge 10m plus na wa ukatibu.sasa kuja kwa Edo anakosa hiyo 10 wazee kwa kiasi kikubwa ilikuwa mzigo kwa CDM, kumbuka kura za Maoni zishapita ubunge bai bai kikubwa labda anabaki na ukatibu mkuu wa chama ambao kisiasa kwake sidhani kama unamaana sana asee. Natoa hoja
 
Hayo ni mawazo yako...
 
Teh Teh ziara ya mwanza ilimpa matumaini hewa Dr.W.Slaa akadhani ameshakuwa Rais ndio maana alikuwa ana ruka ruka kwenye gari!
 
Last edited by a moderator:

Lowasa hana shida na ukatibu mkuu wa Chadema,, Slaa ataendelea tu kuwa katibu mkuu, tatizo ni mchumba wake anautaka ufirst lady
 
Teh Teh ziara ya mwanza ilimpa matumaini hewa Dr.W.Slaa akadhani ameshakuwa Rais ndio maana alikuwa ana ruka ruka kwenye gari!

Slaa amepigwa bao la kisigino dakika za majeruhi.. Mchumba wake Josefin amechanganyikiwa haelewi kitu anataka ufirst lady tu
 
Last edited by a moderator:

Mwache kipenzi wetu .yuko likizo .
 
Teh Teh ziara ya mwanza ilimpa matumaini hewa Dr.W.Slaa akadhani ameshakuwa Rais ndio maana alikuwa ana ruka ruka kwenye gari!

Anway sina cha kufanya....ninaumia vibaya mno kwa dhihaka kama hizi kwa mzee wetu mpendwa....ninaukika mzee wetu hana tamaa kiasi hicho....Mungu msaidie sana mzee wetu huko aliko....mateso yake mateso yetu!!!!
 

Ana following kubwa?kama sijaelewa au ndio kiingereza new.
 

m2kutu,

Mimi nadhani umekosea. Ungejibu hoja za mleta hoja. Si kila anayetoa mawazo tofauti na yako ni mfa maji. Dr Slaa ni mtu anayeheshimika sana ktk jamii ya Tanzania kuliko mwanasiasa yeyote hapa nchini iwe CCM au Upinzani. Kama yaliyoandikwa ni kweli, basi tambua ya kuwa UKAWA itapoteza na heshima yake.

ASM
 

I fully agree with you Sir

We can
 
Dr Slaa alikuwa anapiga siasa kwa dhati akitaka kuwasaidia watanzania. Wapo wanasiasa wachache nchi hii wa mfano wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…