hizo ni kwa ajili ya matangazo ambayo yamekusudiwa kuwa free. sema kuna mkoa fulani , upo karibu na DAR , unapata channel nyingi kama 36 hivi. hizi zipo free to air. bado hazijafungiwa. labda warushaji wapo katika majaribio.
sina hakika kama zinafika hadi DAR. ila definitely zitafungwa baadae