Gamba la Chuma
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 1,243
- 346
BMK ni wawkilishi wa wananchi. Wana uhuru wa kuongeza, kuondoa, kurekebisha au kukubalia kama kilivyo kifungu chochote cha rasimu ya Katiba. By the way hivi kwa nini mnang'ang'ania serikali 3 tu.

Ukweli ni kuwa kazi ya BMK ilikuwa ni kuangalia namna ya kutekeleza maoni ya Watanzania na sio kuyakataa au kuja na rasimu mpya za vyama au vikundi.
Vinginevyo kila chama au kikundi kingepewa kazi ya kukusanya maoni.
Na hakuna chombo duniani chenye uwezo wa kupinga maoni ya wananchi.
Wananchi wamesema wanataka serikali tatu, kazi ya BMK ni kuangalia namna bora ya kutekeleza hilo.
Hii ni kwa kila kamati ya BMK, maana nimeona kamati nyingi zinapinga maoni ya wananchi ikiwamo madaraka ya rais, tunu za taifa, nk
Khaa!! Mibongo mijinga sana kama kila siku unaiambia kuku hutoa maziwa baada ya muda huamini. Nani kasema yale ni maoni ya wananchi?? Watu elfu 17 kweli wawakilishe watu milion 48??? Hata namna walivyopata hao watu haijasemwa wazi. Na kwanini tatizo liwe kwenye mfmo wa serikali ambao hauna maslahi ya moja kwa moja kwa mwananchi?? Lakini mbona pia mwananchi ndiyo muamuzi wa mwisho tena kwa kura?? Duniani watu wanapigania kuungana sisi tunapigania kutengana. Ndiyo akili zetu

wananchi hi waliozungumzia muundo wa Muungano ni Asilimia 14%. Na huko Kwa hao waliongelea pia waligawanyika... Pili maoni ya Wananchi yalikuwa yadhibitishwe na mabaraza ya kata/wilaya lakini Tume iliyapuuza... So Tume inawezaje kulamisha maoni wakati Wananchi kupitia Kwa wawakilishi wao ngazi za chini walipuuzwa?
Sasa hao wajumbe 621 ndiyo wanawakilisha mawazo ya wananchi milioni 48? Mbona Rais amepatikana kwa kura zisizozidi milioni 6 wakati waliojiandikisha walikuwa zaidi ya milioni 20 na wananchi tupo milioni hizo unazosema!Khaa!! Mibongo mijinga sana kama kila siku unaiambia kuku hutoa maziwa baada ya muda huamini. Nani kasema yale ni maoni ya wananchi?? Watu elfu 17 kweli wawakilishe watu milion 48??? Hata namna walivyopata hao watu haijasemwa wazi. Na kwanini tatizo liwe kwenye mfmo wa serikali ambao hauna maslahi ya moja kwa moja kwa mwananchi?? Lakini mbona pia mwananchi ndiyo muamuzi wa mwisho tena kwa kura?? Duniani watu wanapigania kuungana sisi tunapigania kutengana. Ndiyo akili zetu
Tume haikuwa na mamlaka ya kisheria kukataa hata waliokaririshwa; they said what they believed as hawakushikiwa mtutu wakati wanaingea. NB: walichaguliwa; Kwa sasa waBunge wa vyama mbalimbali mbona wanakuwa na misimamo? Tulitakiwa tusiwasikilize?wakati wa mikutano ya tume wananchi walikuwa huru kutoa maoni, mabaraza ya kata uchaguzi ulisimamiwa kiustadi na tume ikagundua wajumbe waliochaguliwa walikuwa wa chama kimoja na yote waliyoyatoa walipangiwa ndo sababu ya tume kuyaacha.
Khaa!! Mara nyingi hizi ndiyo hoja za waliochoka kifikra :cool2:Ninakutafakari wewe ni mtu namna gain,naona ni kama unaupungufu wa akili kichwani au unafikiria kwa kutumia m..k.bora nikupuuze.
Khaa!! Kichwa chako kigumu sana. walimu wako walikuwa na kazi ya ziada kukuelewesha. Hao walioko bungeni hawana uwezo wa kupitisha Katiba. Ni sisi wananchi ndiyo waamuzi wa mwisho. Hili ndilo huelewi hata UKAWA hawaelewi :cool2:Wewe jinga kweli,kama watu elf 17,siyo mil 48,je hao walioko bungeni ndiyo mil48?mburura!