Alama ya msalaba kwenye crown ya Real Madrid logo ni kofia ya mfalme. Kumbuka kuwa Hispania ni monarch state, ikiongozwa na mfalme Juan Carlos, na kihistoria klabu ya Real Madrid imehusishwa na watawala wa nchi hiyo hasa Dikteta Franco. Inasemekana upenzi wao kwa Real Madrid ulihusisha pia kuikandamiza Barcelona hasa miaka ya 1950 ili isifikie mafanikio ya wapinzani wao.