Hbrn wana jamii,wale wa jangwan poleni sana ingawa mnadai lilikuwa bonanza sawa na lile la bodaboda pale leaders.Nicwachoshe sana,ni kwamba kwa taarifa yako mawacliano yanayofanyika ss ktk ukuta wa ssc ni kimombo tu,kuanzia kipa mpaka centerhalf
Mosoti 'Owino leave, its mine'
Owino'Mosot pull up'
Baba ubaya 'Hendry dont smock smock the ball clear'
Mapunda 'Shamte move forward'
Chezea Tambwe wewe