Mwezi wa Ramadhani umelibia ni Lugha gani Mzee?habar zenu waku!naiman mpo salam kabsa,,nacukua fursa hii kutoa kma ukumbusho ,,kwa ndugu zang wa ki islam ,,kwamba mwezi mtukufu umekaribia (Ramadhan)tujianda eni kwakukisogeza kwa Mungu zaidi na kuzidisha matendo mema yatakayotufa tutapo ondoka katik dunia hii ,,tumche Mungu kila nyakati si Ramadhan tu bali Ramadhan tumeshauriwa kuzidisha kama alivo tusii Mtume wetu Muhammad(S.A.W) inamekana tunawez kuanza swaumu kweny tareh27../May. In sha Allah ...wasalam
Munatuharibia Kiswahili mzee, mengine lazima tuseme, Kiswahili kina wenyewe , hivi unashindwa kuandika umekaribia mpaka uandike umekalibia?mengine soma uelew makusudio sio uuliz silly questions mkuu!!
cc FaizaFoxyhabar zenu waku!naiman mpo salam kabsa,,nacukua fursa hii kutoa kma ukumbusho ,,kwa ndugu zang wa ki islam ,,kwamba mwezi mtukufu umekaribia (Ramadhan)tujianda eni kwakukisogeza kwa Mungu zaidi na kuzidisha matendo mema yatakayotufa tutapo ondoka katik dunia hii ,,tumche Mungu kila nyakati si Ramadhan tu bali Ramadhan tumeshauriwa kuzidisha kama alivo tusii Mtume wetu Muhammad(S.A.W) inamekana tunawez kuanza swaumu kweny tareh27../May. In sha Allah ...wasalam
In Shaa AllahInshaalah
Sumuu taswihumInshaAllah,Mwenyezi Mungu atufanyie wepesi kuweza kuufikia vyema huu mwezi mtukufu wa Ramadhani tuweze kufunga,Na wale wenye vidonda vya tumbo ambao karibia na ramadhani vinawaanza awaponye kwa uwezo wake yeye Allah