Ukubali Ukatae hii ndio dawa ya uchepukaji

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,077
Reaction score
17,264
Tafuta Mtu ambaye UNAMPENDA na UNAMTAMANI kila unapomuona. Kama unapenda inye basi tafuta mwenye inye. Maswala ya kujifanya umezama dimbwini na mtu"A liye Anguka Bafuni" halafu ukikumbana na inye roho inakupaa sio dili...FALL FOR YOUR TYPE!

Na kwa wadada, kama unapenda tango tafuta mwenye nalo akuoe. Suala la kujifanya umezama kwenye penzi la mtu mwenye "Kipele cha Bamia" ukikohoa tu kinachomoka halafu ukiona jamaa zipu imeshiba udenda unakutoka sio dili....FALL FOR YOUR TYPE!
 
ila we STUNTER bana haya. tumekuelewa mkuu
 
Sasa mwanamke atamjuaje kuwa uyu ana kibamia au tango bila kufanya nae ngono kwanza?
 
Wamekuelewa kweeli bila picha za tukio?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…