Ukraine inajiondoa Donbase rasmi

Jacob kalokola

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2022
Posts
901
Reaction score
2,734
Jeshi la Ukraine limeanza taratibu kujiondoa katika Eneo la Viwanda vya Kemikari walipokuwa waneshikiliwa kwa sababu zifuatazo:

1, HAKUNA KILICHOBAKIA, kila kitu kimechomwa Moto na makombora na Mizinga ya upande wa pili.
2, WAMEISHIWA SIRAHA NA HAKUNA SUPPLY TOKA UKRAINE.
3, WAMEOGOPA MZINGIRO KAMA ILIVYOKUWA MALIAPOL hili kuondoa uwezekano wa kutekwa.

CHANZO.
ALJAZEERA NA DOTCHEVERE
tazama muda huu au sikiliza.
Mungu anusuru Wazungu wa Ukraine.
Amen.
 
Viongozi wa Magharibi ndio wanachochea hii Vita,
Wanaosumbuka ni Raia wa Ukraine.
Nashindwa kumwelewa mtawala wa Ukraine kukubali kuaribu Taifa lake mwenyewe na usumbufu, vifo vya raia wake.
 
Marekani yuko mbali anachochea kuni halafu anawasukuma EU iingize Miguu yote wakati wa kupima Kina cha Maji

Janja ya Marekani kwny 1st and 2nd World war ni kuingia Vitani mwisho kabisa wakati wahusika wamechachoshana vya Kutosha

Russia nae kishastuka ndo maana anasafisha kwanza Ghala kwa Silaha za Enzi ya Soviet akimsubiri 'Kocha Mwenyewe'
Viongozi wa Magharibi ndio wanachochea hii Vita,
Wanaosumbuka ni Raia wa Ukraine.
Nashindwa kumwelewa mtawala wa Ukraine kukubali kuaribu Taifa lake mwenyewe na usumbufu, vifo vya raia wake.
 
Du Ina maana hii Vita sio ya kuisha Leo Wala kesho.
Maana Operation phase two ya kuikamata Donbase imekwisha.
Sina uhakika Kama ataahambulia tena.
 
Ni Deutsche Welle mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…