Subiri umalize primary kwanza, usije ukamfanya mwenzio akanyea debeumesema Hata wanafunzi tunaruhusiwa eeh
Joanah ushapata ndoa au bado nikuanzishie uzi??Almost 4years bado hujampata tu?
Kweli ndoa ni jambo gumu kulitekeleza
Best luck mkuu
Natafuta mume wa tatuJoanah ushapata ndoa au bado nikuanzishie uzi??
dahNatafuta mume wa tatu
Anzisha tu asigwa
Utakuwa wa tatudah
basi tena........
Subiri umalize primary kwanza, usije ukamfanya mwenzio akanyea debe
Habari zenu wana JF.
Kwa moyo mkunjufu napenda kutangaza nia yangu ya kutaka kuoa. Sitanii wala sina mpango huo kabisa. Najua zipo namna nyingi za Mungu kumkutanisha mtu na mke wake. Na ninaamini hapa JF ni mahali sahihi pia.
Mimi binafsi ni Mkristo, mhitimu wa Chuo kikuu, nimeajiriwa, na nina umri wa miaka 30.
Natafuta mke mwenye umri usiozidi miaka 30, awe na elimu angalau ya kidato cha nne na awe Mkristo. Anaweza kuwa yuko chuoni, ameajiriwa au amejiajiri mwenyewe.
Mambo mengine tutayaongea kupitia inbox. Aliye na nia ya dhati ani-PM
Hapana. Namaanisha inawezekana akawa mtu mzima ambaye ameenda kujiendeleza katika elimu ya juu.umesema Hata wanafunzi tunaruhusiwa eeh
Natafuta mke mwema
Thread by: sambara , Apr 24, 2013, 19 replies, in forum:
Love Connect
Wewe Mheshimiwa tangu 2013 unatafuta mke tu? Hupati au ndio unapata unajilia mmoja mmoja then unarudi kutafuta wa ndoa tena??[/QUOT