1.Nitasimamia kupata katiba safi
2.Nitawaweka ndani wezi wote wa Escrow waliojificha ktk benki ya Stanbic, wezi wa Epa,Meremeta, Lada,
3 viongozi wote waliohujumu uchumi na kutia hasara nchi hii,
4.Nitaiipitia mikataba yote mikubwa mikubwa,
5.Makampuni yote ya nje kutofaidika na kodi za free .nitawapa wafanya biashara wa ndani free kodi na sio wawekezaji wa nje
6
7