Kanguyeyejr
Senior Member
- Jan 27, 2018
- 105
- 91
Mkapa alituita malofa, mtukufu alituita vilaza sasa hata sijui lipi sahihiMkuu ni raisi sana kuiongoza tanzania
Kwani watzd wengi ni mambumbumbu
Kwahiyo TRA waliviuza kwa serikali? Hii hainiingii akilini.Sina utaalamu na mambo ya bandari lakini navohisi ni kuwa mzigo unapotelekezwa bandarini TRA wanakuwa na mamlaka nao ikiwemo kuuza.....
Amani iwe nanyi, serikali hii ilituaminisha watanzania kuwa imekamata vichwa vya treni bandarini ambavyo havina mwenyewe. Juzi waziri wa uchukukuzi mh mbarawa akasema serikali imenunua vichwa hivyo kwa bei nafuu.
Swali langu ni kwamba unawezeje kununua kitu hakina mmiliki? Pesa unamlipa nani? Au serikali ilikua inatafuta sifa kiki kwa watanzania? Najiuliza ni mangapi tunaongopewa huku tukipiga makofi?
Mwisho ni vema unapokuwa mwongo sana basi usiwe msahaulifu mpaka ukasahau Jana uliongopa nini. Asubuhi njema
Lazma TRA watangaze mnada wakuuza hiyo Mali huo mnada ulifanywa lini? Any way"In Africa every thing is possible"Kwahiyo TRA waliviuza kwa serikali? Hii hainiingii akilini.
Kwahiyo TRA waliviuza kwa serikali? Hii hainiingii akilini.
Amani iwe nanyi, Serikali hii ilituaminisha watanzania kuwa imekamata vichwa vya treni bandarini ambavyo havina mwenyewe. Juzi waziri wa uchukuzi mh mbarawa akasema Serikali imenunua vichwa hivyo kwa bei nafuu.
Swali langu ni kwamba unawezeje kununua kitu hakina mmiliki? Pesa unamlipa nani? Au Serikali ilikua inatafuta sifa kiki kwa watanzania? Najiuliza ni mangapi tunaongopewa huku tukipiga makofi?
Mwisho ni vema unapokuwa mwongo sana basi usiwe msahaulifu mpaka ukasahau Jana uliongopa nini. Asubuhi njema.
Sasa kama unamjua mletaji au mmiliki unawezaje kusema umeokota?Mbona huyo mzush alisema wanamjua mletaji.!?
mkuu, haya mavitu yanaonekana yalitelekezwa kwa muda na hao waletaji, kingine ni kuwa mi sijawahi kuwaamini serikali kwa kauli zao toka haya madude yaokotwe bandarini! kwa hio hilo swali mi mwenyew huwa najiuliza!Sasa kama unamjua mletaji au mmiliki unawezaje kusema umeokota?
Huyu mpaka mawaziri wake aliwaita wapumbambavuMkapa alituita malofa, mtukufu alituita vilaza sasa hata sijui lipi sahihi
Huyu mpaka mawaziri wake aliwaita wapumbambavu