Ukitaka kununua bati kwa bei ya agent nitafute

hiyo Dsm mimi.mwenyew ni muuzaji nikiwa kama Agent
 
nataka kuwa wakala nakaribia kufungua hardware yangu hivi karibu ni hivyo nitawatafuta
 
mnauza bei gani? na bati zenu zina upana wa size ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…